Mbunge wa CHADEMA bi Susan Lyimo atuwakilisha vyema mkutano wa kimataifa......

Wewe bado unawaza misaada na wawekezaji kwa kuwa wakija unapata vijisenti vya mikataba feki. Au hujajitambua
Masaburi mwengine huyu,

Wewe unadhani kwenda kuonyesha fashion show ndio sifa? Mwangalieni Zitto akienda mambo anayoyafanya kajifunzeni kwake mjue. Dunia ya sasa si ya kutalii ni kukimbia muda wa kushangaa umeisha. Bora mie nitakayeleta mwekezaji kwani atatoa kazi, umeme utapatikana, maisha yataboreka kodi itaongezeka kuliko mtalii wenu anaenda kushangaa majengo, kodi inatumika bure, akija hapa kutwa maandamano na kelele nyingi hakuna kitu serikali inaingiza wajinga Tanzania wap
 
Anafanya utalii zaidi kuliko kazi.

Pambaf! Kauli za magamba utazijua tu. Angelikuwa Nnape hapa ungelifagilia kwa sana lakini kwa vile ni Susan Lyimo unabeza. Wewe umeona mavazi tu lakini hiyo UNITED REBULIC OF TANZANIA hujaiona??? Kwanini usiseme kwamba anawakilisha vyote kwa pamoja yaani kazi na utalii????
 
Mwanasiasa machachari na mbunge wa viti maalumu wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA ametuwakilisha vyema kwenye mkutano wa kimataifa wa kuzia matumizi ya nyuklia kwa ustadi mkubwa na wakipekee sana,hii inaonyesha namna ambavyo CDM imejaza vichwa vya ukweli na stadi katika mikutano mikubwa hasa ya kimataifa...

View attachment 39373

eko mama naona umepiga kiasili umependeza sana..............
katuwakilisha nini? kwani alisema nini? Au alivyovaa kimasai ndo unachomaanisha? Au watu wengine mnafikiriaje? kwa kutumiaa nini? Mawazo mengine nisawa na vinyesi. Aghh!!!!!
 
Amependeza, zile nywele ni zake au za wawekezaji?

Ametupigia debe la kitalii kwa ma nyuklia sayantist. Au alifikiri yuko kwenye tamasha la utalii? Maana hawa Wabunge wa kupewa hupewa hivi viti kwa mengi.
 
Ni Sawa Sawa na Sophia Simba anaubunge huo pia wa kupewa; kapewa Uwaziri; Sasa unaonaje ni bora kuondoa viti hivyo vya kupewa vya wanawake ? GOOD for U naona mbali ....
 
Tatizo lako unaangalia kila jambo kwa miwani ya udini. Hata pale unapotaja jambo jema toka chadema lazima ulinasibishe na zito as if yeye tu ndiye mtu.

Porojo za mohamed said ndio zimekumaliza kabisa.

Kama serikali yenu inatumia mabilioni ya shilingi kutangaza utalii nje ya nchi, ni jambo la kujivunia kwa suzan lyimo kuwasaidia kutangaza utalii free of charge!

we kenge kweli,unaendekeza mawazo mgando ya udini,hufai kuwa hapa jf...be objective wewe.wapi pameandikwa udini kwa mchangiaji ulotukana apo juu.
 
Kwanza nina declare interest kwamba mimi ni bepari to the bone. Ni mwajiriwa wa kawaida kabisa, nisiyokuwa na kampuni wala nini, lakini naikubali sera ya ubepari asilimia 110.

Huwa nasikitika sana napoona watu wanapinga wawekezaji kila mara. Na mara nyingi utamkuta anayepinga ni mtu mwenye kazi yake kubwa ya kimangi meza, anapelekwa ofisini na shangingi na kurudishwa kwenye hekalu lake la serikali jioni.

Nyinyi mnaowapinga wawekezaji mnashindwa kufikiri kuwa wadogo zenu wanaomaliza shule leo, au wale walioajiriwa kwenye makampuni yanayo-supply hawa wawekezaji, wataenda wapi ikiwa wawekezaji watatoweka. Ni nani atayejenga miradi inayohitajiuwekezaji wa Dollar Billion 2 kabla hata ya kuzalisha cent tano? nani atayeleta utaalam wa kufanya biashara ambazo hatuna uzoefu nazo?

Ungetazama upande wa pili wa shilingi. Hakuna mwelewa maana ya uchumi anayeweza kupinga moja kwa oja uwekezaji maana uchumi hukua kutokana na mwililiano wa tu kibiashara. Kasoro kubwa ni kuanza kwa mpango huo bila maandalizi na sheria zinazowabana wawekezaji na watumishi wa umma katika kuwakaribisha wawekezaji.

Suala la wawekezaji limekuwa mtaji wa watumishi wa umma kwa sasa, na mwekezaji anapewa unafuu wa kuvuna anapojitajidi kuwa karibu na watumishi wa umma wanaofikiria kitu kidogo ambacho ni kikubwa kwao na hukua wanapoteza mabilioni ya pesa kuingia serikalini. Hayo ndiyo yanayoadhiri mambo mengi hata nchi kuingia gizani, kwani hakuna umakini katika utumishi wa umma na serikali.
 
Ni Sawa Sawa na Sophia Simba anaubunge huo pia wa kupewa; kapewa Uwaziri; Sasa unaonaje ni bora kuondoa viti hivyo vya kupewa vya wanawake ? GOOD for U naona mbali ....

Mtazamo wangu ni kwa kiongozi yeyote awe wa kuchaguliwa si wa CCM wala CHADEMA na hata wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wa kupewa si afikiani nalo kabisa na natumai katiba mpya itabadilisha hizi nyadhifa za upendeleo.

Zaidi ya hayo, ningependa kuona Tanzania hata wale viongozi wanaoteuliwa na Rais, kama makatibu wakuu, majaji na wakurugenzi wa sehemu nyeti wawe pia wanapitishwa bungeni kuhakikiwa na kupitishwa pale tu bunge litaridhia.
 
sijawahi kukusapoti kwa lolote chukua tano kwa hii post!
 
Mtazamo wangu ni kwa kiongozi yeyote awe wa kuchaguliwa si wa CCM wala CHADEMA na hata wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya wa kupewa si afikiani nalo kabisa na natumai katiba mpya itabadilisha hizi nyadhifa za upendeleo.

Zaidi ya hayo, ningependa kuona Tanzania hata wale viongozi wanaoteuliwa na Rais, kama makatibu wakuu, majaji na wakurugenzi wa sehemu nyeti wawe pia wanapitishwa bungeni kuhakikiwa na kupitishwa pale tu bunge litaridhia.
Sasa unaanza kufikiria mwenyewe na sio kugandamizia. Kula tano dada (mama?).
 
Mwanasiasa machachari na mbunge wa viti maalumu wa CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA ametuwakilisha vyema kwenye mkutano wa kimataifa wa kuzia matumizi ya nyuklia kwa ustadi mkubwa na wakipekee sana,hii inaonyesha namna ambavyo CDM imejaza vichwa vya ukweli na stadi katika mikutano mikubwa hasa ya kimataifa...
eko mama naona umepiga kiasili umependeza sana..............

Hivi na Suzana Lyimo ni Mbunge Machachari?kweli ukipenda chongo utaona kengeza.

Sitegemi Suzana Lyimo kutoa hoja zozote za maana huko zaidi ya kupata per diem zilizotokana na kodi zetu for nothing, ni muda muafaka sasa serikali kuanza kubana matumizi ikiwepo kupeleka wawakilishi wasio na uwezo wa kuliwakilisha taifa kwenye mada husika.
 
Tatizo lako unaangalia kila jambo kwa miwani ya udini. Hata pale unapotaja jambo jema toka chadema lazima ulinasibishe na zito as if yeye tu ndiye mtu.

Porojo za mohamed said ndio zimekumaliza kabisa.

Kama serikali yenu inatumia mabilioni ya shilingi kutangaza utalii nje ya nchi, ni jambo la kujivunia kwa suzan lyimo kuwasaidia kutangaza utalii free of charge!

Huyu naye ni great thinker kweli jamani JF imevamiwa kuna watu wakishaona nimewapinga sehemu fulani basi wanakuwa na donge. Are you familiar with the term Agree to disagree mkuu. Sio lazima wewe ukubaliane na misimamo yangu na mimi pia sio lazima nikubaliane na misimamo yako. Katika masuala ya nakala ya Mohamed Said nina msimamo wangu na huku pia nina msimamo wangu niambie wapi nimetaja dini ya Suzane? Mie nachokisema mtu asifiwe kwa substance na sio kuvaa rubega katika mkutano wa nyuklia. Message yake inaweza kuwa isifike akaonekana kituko bure. Haya tuambieni amepata watalii wangapi huko katika mkutano wa nyuklia?

Leteni alichokiongea tukitathmini na sio kuvaa vaa marubega tukaanza kumsifia mie mkuu siliungi mkono. Ingelikuwa mkutano wa watalii au wizara ya utalii ningelielewa lakini sio nyuklia kila vazi lina sehemu yake ndugu. Wewe unaweza kwenda kazini umevaa kufuli au msuli ??
 
Ndio hapo basi yaani wewe kwenda kutufanyia fashion show sehemu ya watu wako serious na shughuli za maendeleo wewe ndio unaona ametuwakilisha vema kweli vigezo vyetu vya maana ya neno vema tunatofautiana. Ningelisikia Susan Lyimo amefanikiwa kupata mkopo wa Billioni kadhaa kuja kujenga kinu cha kufua umeme wa nyuklia Bongo. Au kapata wawekezaji kuja kuwekeza katika Uranium yetu ningelikubali ametuwakilisha vema. Mwe kuna watu wanafikiria kwa masaburi Tanzania hii hadi aibu.

Unawaza kukopa tu eeh!! yaani raisi wako amekulisha sumu mbaya mpaka unadhani kila kitu ni kukopa tu...endelea uone madhara yake,nenda kakope kwa waarabu uone kazi yake...
 
we kenge kweli,unaendekeza mawazo mgando ya udini,hufai kuwa hapa jf...be objective wewe.wapi pameandikwa udini kwa mchangiaji ulotukana apo juu.

Muone huyu naye kakurupuka toka usingizini na kuandika utumbo hapa.

Huyoi unayemtetea pamoja na wewe mwenyewe mmenyweshwa sumu ya udini kwa historia ya chuki dhidi ya wasiokuwa waislamu inayosimuliwa na sheikh wa gerezani.

Sasa kwa dalili kama hizi sitoshangaa kusikia mmeamua kujivika mabomu na kuwaua watanzania wenzenu kwa sababu ya kujazwa maneno ya ufitini na chuki.
 
Huyu naye ni great thinker kweli jamani JF imevamiwa kuna watu wakishaona nimewapinga sehemu fulani basi wanakuwa na donge. Are you familiar with the term Agree to disagree mkuu. Sio lazima wewe ukubaliane na misimamo yangu na mimi pia sio lazima nikubaliane na misimamo yako. Katika masuala ya nakala ya Mohamed Said nina msimamo wangu na huku pia nina msimamo wangu niambie wapi nimetaja dini ya Suzane? Mie nachokisema mtu asifiwe kwa substance na sio kuvaa rubega katika mkutano wa nyuklia. Message yake inaweza kuwa isifike akaonekana kituko bure. Haya tuambieni amepata watalii wangapi huko katika mkutano wa nyuklia?

Leteni alichokiongea tukitathmini na sio kuvaa vaa marubega tukaanza kumsifia mie mkuu siliungi mkono. Ingelikuwa mkutano wa watalii au wizara ya utalii ningelielewa lakini sio nyuklia kila vazi lina sehemu yake ndugu. Wewe unaweza kwenda kazini umevaa kufuli au msuli ??

Hakuna ulazima kukubaliana kwa kila hoja.

Kinachonipa wasiwasi ni kwamba sijawahi kukusoma ukitoa positive comment dhidi ya chadema ama kiongozi wake bila kuinasibisha na element za ubaguzi wa kidini.

Ni ajabu unamkandia aliyehudhuria mkutano lakini husemi chochote kwa wale wasioonekana kwenye nafasi zao mkutanoni. Unamshangaa kavaa rubega ulitaka avae suti au kanga moko ndo uridhike?
 
Back
Top Bottom