Recent content by TOUCHBOY TERMINATOR

  1. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Masoko ya dagaa chakula cha kuku

    MIMI NINAMASHUDU, NAWEZA KULETA TAN 50 KWA WIKI NAOMBA SOKO
  2. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo tunakuomba kawasaidie wananchi wa kata ya Matimila kijiji cha Mpingi na Kikunja

    Wananchi hao wametapeliwa fedha zao na kampuni X ambayo imenunua tumbaku kwenye kata hiyo. Malipo ya tumbaku yalipaswa kufanyika mwezi wa tisa lakini hadi leo hakuna chochote. imagin mtu adai milioni 5 anapewa laki 3 halafu wakulima hawajui hatima yao. Nenda kawasikiliwe kwa makini...
  3. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Uhaba wa chakula mwaka 2023 utakuwa mbaya zaidi kuliko watu wengi wanavyodhani, tujiandae

    Lima acha uzembe. Tumia mbolea asilia.
  4. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Bank gani inatoa Mkopo wa kununulia gari ya Kazi?

    Waone sclt ltd. Fasta
  5. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Amerika halijatajwa mahala Popote Kwenye Biblia?

    Ya rohoni hueleweka rohoni, ya mwilini huishia mwilini. Zaliwa kiroho uelewe ya rohoni.
  6. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Ashakum si Matusi?

    Kauli hii hutumika pale unapokubali kukiri madhaifu yako au MTU anapozungumza Mambo ya aibu au fedheha lakini huo ndio ukweli na uhalisia. Mfano, ashakum si matusi, dada yule ni bora alivyokufa kwa kuwa aligharim maisha ya wengi.
  7. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Dogo katolewa chumba cha mtihani na Mkuu wa Shule

    Sifa namba 1 awe mwanafunzi 2. Awe amehudhuria masomo kwa miaka husika. Kidato Cha 1 hawezi fanya mtihani wa kidato Cha 4 3. Awe amesajiliwa.inamaana akifukuzwa shule hawezi fanya mtihani atakuwa amepoteza sifa namba 1. Utajaziwa fomu MAALUMU ya kutolea taarifa hata Kama alisajiliwa
  8. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kujitolea kwenye Taasisi isiyo ya Kiserikali (NGO)

    Kwa sasa ipo mkoa wa mtwara ila tunaweza fungua ofisi mkoa wowote Tz bara
  9. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kujitolea kwenye Taasisi isiyo ya Kiserikali (NGO)

    Issue za social media UPDATES,mifumo NIS NK
  10. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kujitolea kwenye NGO

    R
  11. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu wa kujitolea kwenye Taasisi isiyo ya Kiserikali (NGO)

    Habari Wananzonde jukwaani Nimesajili shirika NGO mwaka 2020 ina usajili wa kufanya kazi mikoa yote Tanzania bara (Usajili wa kitaifa) lakini Hadi leo sijafanikiwa kupata fund Mahali popote . Nimejifanyia tathmini nimegundua kwamba Sina watu wenye weledi kwenye hii NGO. Kwani 99% ya wanachama...
  12. TOUCHBOY TERMINATOR

    JamiiForums Tanzania Ipo siku yaja Buguruni itawaka moto utakaoshitua ulimwengu. Amini hilo

    Kuna siku huu uzi utakuwa lulu Baada ya bendera kushushwa nusu mlingoti huku tukiwalili ndugu,jamaa,majirani ba Mali zao. Kwa bahati mbaya Tunaunda tume baada ya tukio
Back
Top Bottom