Waziri wa Kilimo tunakuomba kawasaidie wananchi wa kata ya Matimila kijiji cha Mpingi na Kikunja

Aug 19, 2021
38
58
Wananchi hao wametapeliwa fedha zao na kampuni X ambayo imenunua tumbaku kwenye kata hiyo. Malipo ya tumbaku yalipaswa kufanyika mwezi wa tisa lakini hadi leo hakuna chochote.
imagin mtu adai milioni 5 anapewa laki 3 halafu wakulima hawajui hatima yao.

Nenda kawasikiliwe kwa makini zaidinwananchi.
MKOA WA RUVUMA
WILAYA YA SONGEA VIJIJINI
KATA MATIMILA
VIJIJI NI MPINGI NA KIKUNJA
 
Wananchi hao wametapeliwa fedha zao na kampuni X ambayo imenunua tumbaku kwenye kata hiyo. Malipo ya tumbaku yalipaswa kufanyika mwezi wa tisa lakini hadi leo hakuna chochote.
imagin mtu adai milioni 5 anapewa laki 3 halafu wakulima hawajui hatima yao.

Nenda kawasikiliwe kwa makini zaidinwananchi.
Tatizo mlilonalo ni kuwa hamjui chanzo cha tatizo lenu. Bila kujua chanzo, mtaendelea ku-deal na dalili za ugonjwa lakini ugonjwa wenyewe hautaisha. Chanzo ni serikali na huyo waziri mnayemwomba aje kutatua ni sehemu yake.
 
Huu utaratibu wa wahuni kuwa na Kampuni zao kwenda kukopa mazao kwa Wakulima na kuwaambia watawalipa baada ya wao kuuza ni wa kihuni sana...wanatakiwa wakope Bank fedha wasichukue bidhaa bila kulipa kwa kuwalipa fedha wakulima kwa wakati maendeleo yao kidogo yataonekana sio Tumbaku ya May, 2023 anakuja kulipwa November,2024 huo ni utapeli kwa Wananchi na Serikali ipo kimya..
 
Back
Top Bottom