Recent content by Torque vs HP

  1. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Enzi za Magufuli watu walijenga nyumba, sasa hivi watu wananunua vyakula

    Yuko anauza viroba vya diamond mkuu.
  2. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ni nchi nzuri, Ila wenzetu hasa huku Norway Kuna kazi nyingi na pesa ipo

    Sawa mkuu,tuma salamu kwa watu watatu.
  3. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania IRGC yawapongeza Wapalestina kwa ushindi mkubwa

    Wapalestina wangapi wamekufa vs Waisrael?
  4. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Tamisemi toeni vibali vya kuajiri kwa waliojitolea kwenye ajira za mikataba ndani ya Halmashauri

    Hahah yule jamaa alizalisha wazalendo feki sana aiseee. Kijana una shida ya ajira ila umeona ujifiche nyuma ya neno uzalendo uchwara.
  5. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Sawa mkuu,all the best.
  6. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Deodatus Balile ashinda Uenyekiti wa Jukwaa la Wahariri dhidi ya Neville Meena

    Huyu Mwenyekiti kwny kikao cha waandishi wa habari na Magu kule ikulu aliuliza mzee leo hatupati pombe kidogo.
  7. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuanzisha shule ya msingi binafsi inayofundisha kwa Kiswahili?

    Inawezekana tu mkuu,lkn ni shule itakayowafaa watoto wa wanyongeeeee.
  8. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

    Mke wangu acha kupaniki,hujawahi kufanya biashara ndio maana huwezi kuelewa TRA ilichokua inakifanya. We tulia hapo nyumbani wanaume tutakuletea mahitaji ya nyumbani upike,ila haya mambo ya Tra achana nayo maana huyajui.
  9. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Coming 2 America Inaondoa stress zangu zote

    Movie ya kawaida sana hio. Rating:3/10
  10. Torque vs HP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

    Daah kuna mshkaji alikua na tabia hizo za kikuda kuda (Mood swings) mara aongee, kesho anune aisee nilimchana nikamwambia sitakagi mazoea kabisa na washkaji wenye Hizi tabia za kama vile demu aliyeko period.
  11. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Pombe ilishakupa kitu gani kama faida?

    Meza Cipro kabla ya kwenda uvinza. Au nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuu?
  12. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naomba ajira

    Piga *149*60# mkuu.
  13. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje hawa jamaa wa wrong parking wanakamata mpaka usiku?

    Daah ngoja nimshtue huyu mdau Holy Man yeye ndiye mzee wa usiku kwa usiku labd ameshakutana nazo mkuu.
  14. Torque vs HP

    JamiiForums Tanzania Imekuwaje hawa jamaa wa wrong parking wanakamata mpaka usiku?

    Sawa mzee baba.
  15. Torque vs HP

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu wakimya (introverts) mnapataje marafiki wa kawaida ukubwani?

    Na huko JF hua una post upuuzi kama huku?
Back
Top Bottom