Pombe ilishakupa kitu gani kama faida?

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,766
Habari za wakati huu wakuu, poleni kwa kazi na majukumu yenu ya kila siku. Eeeh bhana ujue nimekuwa nikisia wana wakisema ukitoka kwenda kunywa na marafiki kuna faida kama kupata michongo ya biashara na connections mbali mbali.

Leo mimi kitu nimefaidika nacho kwenye pombe, nimekunywa bia zangu mbili tu kajileta dada wa promosheni ya Bia fulani hivi ..! Bia inatrend sana kule twira, huyu dada bhana si akavutiwa na mastori.

Nimepiga naye stori, sana na nikamuomba mzigo kanipa nimepiga aseee.! Nimeinjoy japo nimelewa mpaka muda huu naandika haya nimelewa. So toka nianze kunywa pombe, hiyo ndio faida naweza isema ..!

Wanywa Pombe oyeeee
 
Habari za wakati huu wakuu, poleni kwa kazi na majukumu yenu ya kila siku. Eeeh bhana ujue nimekuwa nikisia wana wakisema ukitoka kwenda kunywa na marafiki kuna faida kama kupata michongo ya biashara na connections mbali mbali. Leo mimi kitu nimefaidika nacho kwenye pombe, nimekunywa bia zangu mbili tu kajileta dada wa promosheni ya Bia fulani hivi ..! Bia inatrend sana kule twira, huyu dada bhana si akavutiwa na mastori.
Nimepiga naye stori, sana na nikamuomba mzigo kanipa nimepiga aseee.! Nimeinjoy japo nimelewa mpaka muda huu naandika haya nimelewa. So toka nianze kunywa pombe, hiyo ndio faida naweza isema ..!
Wanywa Pombe oyeeee
Waulize Breweries watakupa faida lukuki. Waulize wenye mabaa pia watakuhabarisha na kukuelimisha, hapa hujaiuliza serikali.
 
Mkuu inaonekana huwa ujichangaji kwenye classic Bar huko ndio kuna
Pisi kali
Michongo
Na nk

Faida pekee ambayo hua naiona unayoweza kupata kwenye pombe ni kujenga urafiki kwa haraka na watu fulani fulani ambao otherwise usingeweza kuwafahamu. Na watu hao huenda kuna siku wakaja kukusaidia kwenye issues zingine.

Ila kusema kuna mchongo wa maana utapata kwenye ulevi ni nadra sana na hata ukipata, hela yote bado utakuja kuinywa na huyo aliekupa mchongo so work done = 0.
 
Me ilinisaidia kupata ajira ya kudumu,tulikuwa watu km mia 500 usaili wa vitendo huku wakihiijika watu 11 tu.Usaili ulikuwa wa kuendesha chombo fulani nami sikuwa na mchongo na mtu yeyote(connection) nilikuwa 90% ya kukosa confidence kwani niliona km nimekuja kuharibu muda coz siwezi pata,akili ikanituma kukimbilia grocery nikapiga tu-konyagi tuwili chap kabla km dk 10 kupanda chomboni,aisee nilimiliki chombo as if nilikuwa nacho miaka kumi.Anyway majibu yanakuja kutoka mimi ndo all of the best operators tena kwa marks za juu nikiwa na 85% na wa pili akiwa ananifata kwa 60%.
Nina haja ya kumshukuru Mungu lkn pia siwezi kusahau hiyo drink iliyonipa ma confidence ya juu sana.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
 
Hahaaa... hapo pombe haikukusaidia chochote, we ulikua upo vizuri ulikua hujijui tu 🤣
 
Faida pekee ambayo hua naiona unayoweza kupata kwenye pombe ni kujenga urafiki kwa haraka na watu fulani fulani ambao otherwise usingeweza kuwafahamu. Na watu hao huenda kuna siku wakaja kukusaidia kwenye issues zingine.

Ila kusema kuna mchongo wa maana utapata kwenye ulevi ni nadra sana na hata ukipata, hela yote bado utakuja kuinywa na huyo aliekupa mchongo so work done = 0.

Ni kutokuwa na Control juu ya kiasi gani utumie na wakati gani.! Watu hawanywi pombe lakini muulize kama amejenga, anafamilia au Maendeleo yoyote ..jibu litakuwa noo. So suala la Unywaji wa Pombe si kwamba ni mbaya na hauna faida, faida ipo kama utakuwa mtu unajicontrol sio unakujywa hadi ushindwa kutembea kuelekea kwako huo ni usenge. Mimi napigaga chupa zangu kadhaa nikiona imeanza kukolea naishia hapo hapo naenda kupanda boda naenda zangu home.
 
Pombe ndo siraha yangu nayoikubali ni zaidi ya icbm.nikiipiga nakua na ujasiri sio wa nchi hii.nlishawahi kuzuia watu wa mtaa wangu kawe kwa zaidi ya dk zaidi ya 40.mpaka polisi jmii wakaja bahati nzuri hawakunikuta walikuja na bakora sio za nchi hii.ningewamudu wana bahati hawakunikuta.rafk zangu wajeda wa lugalo nliokua nakunywa nao walifeli kuuzima moto wa vifuu vya nazi nliokua nmeuwasha. Pia nkilewa hakunaga mwanamke yoyote anaeweza kuchomoa hitaji langu nkimtaka.ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom