Imekuwaje hawa jamaa wa wrong parking wanakamata mpaka usiku?

Imekuwaje hawa jamaa wa wrong parking wanakamata mpaka usiku?

cacashian01

Member
Joined
Mar 3, 2016
Posts
76
Reaction score
62
Inakuwaje wakala wa walio pewa Tenda na serikali wanafanya kazi mpaka usiku kukamata magari usiku na mchana!!
 
Hiyo huanza asubuhi bendera inapopandishwa na kukoma jioni bendera inaposhushwa
 
Hiyo huanza asubuhi bendera inapopandishwa na kukoma jioni bendera inaposhushwa
 
Sasa hivi wanazunguka wakikuta i.s.t wanazusha ww ni uber?au texi bubu?songombingo linaanza
 
Daah ngoja nimshtue huyu mdau Holy Man yeye ndiye mzee wa usiku kwa usiku labd ameshakutana nazo mkuu.
huo mchezo upo mlandizi, kuna trafic anakuwa mwanzo anacheki chombo ambayo ipo speed sana, anatoa taarifa mbele, wanategesha sehemu yenye mwanga (moja ya sehemu yenye mwanga ) nahisi njaa zao ambazo Mama Samia amewachomoloea.. ni kama genge flani tu, trafic saa nane za usiku ubatafuta nini 😂😂😂
 
Back
Top Bottom