My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Rais wangu Samia, naomba ajira, uniteue niwe Mkurugenzi mkuu wa TISS, hii kazi naipenda kuliko kazi zote Duniani.
Naipenda hii kazi kwa sababu naipenda sana nchi yangu Tanzania.
Sina chama chochote cha kiasiasa ninachokifia, Chama changu ni Tanzania.
Ukiniteua kwenye hii nafasi ,nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu.
Kwanini nasema nitafanya maajabu kwa muda mfupi tu?
Rais wangu, Idara ya Usalama wa Taifa ktk Taifa lolote lile Duniani ndo Roho ya nchi, Idara ikiwa Dhaifu na Taifa linakuwa Dhaifu.
Uimara wa China kiuchumi kwa muda mfupi tu umetokana na Uimara Intelligence yao.
Hatuwezi kufika popote Kama Taifa bila kuwa na Idara imara.
Kila baada ya miezi miwili au mitatu Idara ya Usalama wa Taifa la Kenya kitengo cha Uchumi hukutana ili kuboresha mbinu za kuhakikisha Tanzania, Uganda, Burundi na Rwanda zinaendelea kununua Bidhaa nyingi za Kenya kuliko zenyewe kuuza Kenya, mambo ni mazito na magumu yanafanyika, na bado mipango mizito inafanywa ili tuendelee kununua zaidi Kenya kuliko kuuza.
Ukiniteua kwenye hii nafasi, nitaunda kikosi kazi maalumu ambacho kazi yake ni kwenda kuiba Technology ya kutengeneza Bidhaa muhimu kiuchumi.
Itahitaji maandalizi ya miaka mitatu au miwili kuandaa hiki kikosi.
Intelligence imara haina muda na Siasa uchwara na wala haitumiki kwa maslahi ya Watawala wasio na Hekima.
Rais wangu Samia, naomba ajira.