Deodatus Balile ashinda Uenyekiti wa Jukwaa la Wahariri dhidi ya Neville Meena

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Huko Morogoro ni Balile!
Screenshot_20210522-132340.jpeg
 
Hongera zake! lakini, hivi kwa namna Jukwaa la wahariri chini la Balile linavyojitongozesha serikalini na kwenye taasisi mbalimbali kuombaomba fedha, hawatengenezi "mgongano wa maslahi kweli"?

Hivi vyombo vya habari vitalisaidia Taifa katika vita dhidi ya ufisadi kweli?
 
Back
Top Bottom