Recent content by themankind

 1. T

  Msaada nimeibiwa blackberry yangu...how to trace it

  Kama unahitaji kuipata fuata utaratibu wa huu 1.Karipoti Police 2.Police watakuelekeza barua kwenda kwenye Kampuni la simu mtandao uliokuwa unatumia. 3.Uchunguzi utafanywa: a) Kampuni yako ya simu wanaouwezo wa kutrack hiyo simu b) Hatakama kabadili laini ya...
 2. T

  Azam Lager

  Fitina si kitu kizuri hata kidogo,azam malta hazina kilevi hata kidogo,mimi naitumia pamoja na jamaa zangu ambao hawatumii biere na hakuna hata mmoja aliethibitisha kuwa ina kilevi, watanzania endeleeni kukamua azam malta
 3. T

  Hivi mnaujua wimbo wa Taifa wa Zanzibar?

  mi nijuacho Wimbo wa Zanzibar ni wa kujifurahisha tu, Zanzibar SI nchi NI SEHEMU YA jamuhuri ya TZ, ni sawa na wimbo wa shule ya sekondari tu au ni sawa na wimbo wa jamii yoyote ile iliyopo ndani ya Jamuhuri ya TANZANIA, sioni haja ya kuujua Ieleweke kuwa tuna Nchi moja tu ya TANZANIA...
 4. T

  Tujikumbushe ILBORU

  Ebwana ee duu, kale kajisauti ka mkuu John kalikuwa kanatia wasiwasi watu wakasema ni David cameroon
 5. T

  Nini maoni yako Kuhusu Muungano?

  Maoni yangu, 1.Huu muungano wa nchi Mbili ni lazima uzalishe serikari moja(Serikari ya jamuhuri ya Muungano ya Tanzania)-ni kiini macho cha hali ya juu kuwa nchi mbili zilizoungana zinazalisha serikali mbili eti ya Muungano na ya Zanzibar,hata mtoto mdogo wa darasa la chekechea anaelewa kuwa...
 6. T

  Msaada jinsi ya kuhack namba ya mtu,nahisi mchumba angu anacheat na dume jingne

  Mzee hiyo makitu ipo kwa sasa,LAKINI NI KINYUME NA SHERIA, sharti uinstall kwenye simu zote mbili, unaemhack na kwenye simu yako,then kila kitu unakipata live on time iwe sms,voice call,email na unaweza uka mtrack hadi sehemu alipo.NO SECURITY ANY MORE. Angalizo kwa watu wanaopenda kuacha...
 7. T

  Umuhimu wa 3g ni upi?

  After all the movement from First Generation of mobile Technology(1stGeneration i.e. 1G) that includes the GSM(Global System for Mobilecommunication)whereby the customer was able to make and receive voice calls aswell as sending and receiving sms. Innovation paved its way to Second...
 8. T

  Je ni halali kwa polisi kumdhalilisha mbunge kiasi hiki?

  Sheria ipi? Unatii Sheria sahihi,sio sheria iliyopindishwa
 9. T

  Wizi mpya wa VODACOM !?

  +25515600-Bonyeza moja kukubali Vodacom Mobile radio!!vodacom swaga music radio,you can listen all the music you want ,haahaaa hiyo ni VAS ya voda, ila sijui inakula shilingi ngapi!! ukipiga 15600 you can listen hiyo music(bongofleva,international music,gospel nakadharika), na mambo mengine!
 10. T

  Igunga: Jinsi wakala wa CHADEMA alivyouliwa...

  R.I.P Mbwana Masoud(Kamanda wa Kweli,utaandikwa kwenye kumbukumbu daima)-Tunasubiri tamko rasmi kutoka uongozi wa juu wa CHADEMA.
 11. T

  Nafasi ya kaz yenye mshahara mnono

  Believe me or not!!! Semister ya kwanza mwaka huu lazima upigwe sup tano!!!
 12. T

  Balali yuko HAI - He is not dead

  time will tell, ukweli utakuja julikana tu!!
 13. T

  Katibu mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Mwanga anashikiliwa na polisi

  Nchi hii bana! Kama amavyo Mungu anatusamehe makosa yetu,basi awasamehe kwani hawajui walitendalo!!
 14. T

  Naomba msaada crdb telegraphic transfer yangu wameihold

  Subiri hadi alhamis ijayo itakuwa tayari,
Top Bottom