Tujikumbushe ILBORU

Tujikumbushe ILBORU

Tatizo Madogo siku hizi Usharobaro Mwingi Koma Mdogo wangu Room One ina Historia Mbaya sana Ungekuwa Room Three au Four Ningekuwa na Matumaini na wewe ila Room One aaa mara Nyingi wanaishi washambawashamba na wamenye ha ha ha

Wapi wewe mwaka huu lazima tuirudishe hadhi ya room one kwa kuanza tumeanza na mock kimbiza vibaya mno....tatizo lako albedo hukuishi room ya wajanja au ulikua unaishi room seven nini
 
katika members wote humu nimewakubali, isipokua rajeo,,, rajeo nina mashaka kama kweli umesoma ilboru, mboni uwezo wako wa kufikiria ni mdogo kiasi icho???????,,, unaongeaga pumba sana, umesoma ilboru mwaka gani wewe?? Ama labda uliletwa pale kimipango, manake inaelekea wewe ni mtoto wa gamba,,,???
 
Wapi mama mpishi,babu mapengo,mzee wa kutoa ofa za pombe ankali....uncle..jooooy..john,ukiwa kiongozi makande na utumbo atakujazia lakini lazima uwe nani ...wa..ke.
 
katika members wote humu nimewakubali, isipokua rajeo,,, rajeo nina mashaka kama kweli umesoma ilboru, mboni uwezo wako wa kufikiria ni mdogo kiasi icho???????,,, unaongeaga pumba sana, umesoma ilboru mwaka gani wewe?? Ama labda uliletwa pale kimipango, manake inaelekea wewe ni mtoto wa gamba,,,???
IQ yangu ni kubwa sana mkuu..nilikuwa best among special n talented students wa Tabora Boyz na Ilboru.
Kitendo cha kusoma miaka sita kwenye special schools kinadhihirisha uwezo wangu. Hivi kuna CDM aliyesoma special school?
 
319525_280546895317973_100000879935585_759516_197278818_n.jpg

Nimekumbuka nilipotoka!
 
  • Thanks
Reactions: RR
Dah,,kitu lecture hall,,wapi kite,msungu,losujaki,mgaya,moshiro,shembilu haaaaaa,,what a memory,x
 
KEVU= Vyumba ya kusomea chini ya ngazi za mabwenini.
NALASUMAKA= Mpishi aliyekuwa mkorofi kuliko wote alikuwa akitukana tusi hili.
KAYAMBA= Bakuli kubwa la uji lile la alluminium.
DISHA/ODALII= muhudumu za wiki wa meza kuleta chakula kutoka jikoni.
MAMAJULII= Mama aliyekuwa maarufu kwa kuuza maandazi matamu alikuwa mke wa mwalimu.
BINO= Lilikuwa jina la headmaster mushi mzee mkongwe Ilboru[I like that man]
KWA KISHUU= Kibanda kilichokuwa maarufu kwa kuuza matunda na mahali pa vijana watukutu kupiga fegi zao na mvinyo
CENTRAL ROAD=Barabara iliyokuwa inapita katikati mikahawani/kichochoro kuepuka kukutana na waalimu kutotoka kwenda town.
SUMU= Ni uji usiokuwa na sukari wakati mwengine ukata shule ikikosa sukari[marekebisho hapa kwa waliotangulia]
QUANTAM= Mwalimu aliyesifika sana kwa somo la hisabati A-level
KIMASIA= Mwalimu aliyesifika sana kwa siasa,alikuwa anafundisha kwa mipasho na hakuna mwanafunzi anayemisi somo lake kwa staili yake ya ufundishaji inayovutia kila mwanafunzi
KISAMAI= KIkundi cha SAnaa na MAonyesho Ilboru.
CHAPLE=Kanisa la shule,
MUGIYA/NJUGA/NGURUWE=Kidato cha kwanza.
BUNDI/MSONGO= Mtu anayesoma usiku kucha bila kulala.
DEBE= Disco.
JEL FISH=Mtu anayependa kuoga kila saa.
Niishie hapo kwa leo ni mimi AKA kisamai boy.1990 -1993
 
Niishie hapo kwa leo ni mimi AKA kisamai boy.1990 -1993<!-- google_ad_section_end --> 😛hoto::eyebrows::A S-coffee:
 
IQ yangu ni kubwa sana mkuu..nilikuwa best among special n talented students wa Tabora Boyz na Ilboru.
Kitendo cha kusoma miaka sita kwenye special schools kinadhihirisha uwezo wangu. Hivi kuna CDM aliyesoma special school?
CDM lazima wakupe mimba maaana kila mda unawaza CDM.
 
IQ yangu ni kubwa sana mkuu..nilikuwa best among special n talented students wa Tabora Boyz na Ilboru.
Kitendo cha kusoma miaka sita kwenye special schools kinadhihirisha uwezo wangu. Hivi kuna CDM aliyesoma special school?

mimi hapa mwanachadema mkongwe na nimesoma ilboru, form 1 mpaka 6,,, kiazi sana wewe,,, wewe nna uhakika, umeletwa pale kimpango, wat special thing do u hav??? Pumba ambazo hua unaongea humu ndani hata anaesoma shule yeyote na kupata division zero ana afadhali kubwa
 
Back
Top Bottom