Naomba msaada crdb telegraphic transfer yangu wameihold

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
53
Wana jamii najua ninyi ni watu wema mnaweza kunipa mchango wa mawazo...nina kawaida ya kupokea telegraphic transfers kutoka nchi za ulaya kuingia kwenye account yangu...toka alhamisi iliyopita tayari naona kuna pesa kiasi cha dola 3000 zimeingia...lakini hadi leo jumapili siwezi ku withdraw available balance inaonyesha sh 5000 wakati actual balance milioni nne na ushee? Je nifanyeje au nisubiri mpaka lini? Leo jumapili branch yangu hawajafungua
 
themankind

Member
Jun 28, 2011
40
38

Subiri hadi alhamis ijayo itakuwa tayari,
 
Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
42,462
92,778
Usiwe na shaka kesho watakuingizia. TT zote hufikia makao makuu. Distribution hufanywa within four working days. Kama imeishaonekana kwenye BB (Book Balance) lakini haipo kwenye CB ( Cleared Balance) yako, them ulizia hapo counter wakutajie Value Date hivyo utajua ni lini zitaclear.
 
sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
53
Mungu ni mwema wana jamii nashukuru kwa mchango wenu hasa pasco umeongea kitaalamu nashukuru sana ndugu yangu ubarikiwe sana
 
S.M.P2503

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,108
1,488
hii ni issue ndogo tuu sio ya Kimei. Kimei ni kumuona kama unataka unsucured loan ya 50M and above.

Pasco, tafadhali ni- pm basi number ya kimei maana nahitaji hiyo 50m and above unsecured loan !!! Na pia nipe details zaidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom