Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ujumbe wala hauna dalili kutoka Azam.Mimi nasikia yule babu ni muislamu na waislamu wana sheria ngumu kuhusu ulevi.Inashangaza kudanganywa na mafundi wake mpaka akaruhusu kutengeneza kinywaji chenye sifa zote za bia.naona hamjaelewa huo ujumbe, tena inawezekana huu ujumbe ni kutoka azam wenyewe kutaka kuwateka wanywa beer, ujumbe unasema harufu ladha, povu na bei ni kama beer, yaani kisichokuwepo pale ni alcohol content, which is true
sasa fitina ni zipi hapa
to be a brew master is not a joke
teh! teh! nakitu cha kumiksia azam klab soda!nimesikia anampango wa kuanzisha azam redbull
Hizi zipo but test yake siyo nzuri. Bora original Redbullnimesikia anampango wa kuanzisha azam redbull
hivi vitu vingine tunatumia basi tuu, jiulize hiyo malt yote inayotengeneza hivyo vinywaji ghafla inalimwa wapi, simple it is all about artificial flavouring, synthetization and the like
Hivi Safari lager isiyo na alcohol bado inaitwa safari lager??Big up. Wafahamishe hao jamaa zako. Kuna Heineken ina kila kitu kama ile yenyewe lakini -no alcohol. Kama Bakhressa anafanya kitu kama hicho mimi nampiga big up- kwa sababu hapa nakunywa hiyo Heineken without alcohol. Nikitua hapo Bongo mimi ni mteja wake.
:thinking:Mzee Bakheresa kiboko, ila sie tunajiuliza mbona hayuko kwenye top 5 ya walipaji kodi wakubwa nchini?!
tatizo anaweka hela zake kwenye kibubu hazipeleki benki ndio maana hawamuweki kwenye list..
tatizo anaweka hela zake kwenye kibubu hazipeleki benki ndio maana hawamuweki kwenye list..