Recent content by The day dreamer

  1. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ¡Hola amigos. ¿Que tal?

    !De veras!
  2. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ¡Hola amigos. ¿Que tal?

    Hiv utofaut wa Spanish wanayotumia mexico na Spain ni ipi
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya secretary (1) na afisa uhusiano microfinance (3)

    Nina diploma ya international relations, siwezi kuangaliwa kwa jicho la tatu?
  4. T

    JamiiForums Tanzania ELIMU BURE:Vitu vya kufanya mara baada ya kupata kazi 2016+

    Japo bado natafuta kuajiliwa ila hii noble education I really appreciate it, ngoja nisubirie free soft copy! Shukrani
  5. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ¡Hola amigos. ¿Que tal?

    Creo que no
  6. T

    JamiiForums Tanzania Shirika kubwa NSSF, amekosekana mtu wa kumpromote ili awe Mkurugenzi hadi atoke nje?

    Hapa najifunza kitu, watanzania wengi kama wewe wamekuwa ni watu wakuunga mkono hoja/ fanatics, jifunze Ku analyse, na ku argu kwa fact.
  7. T

    JamiiForums Tanzania Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato

    Ukitaka tiba ya uchawi huu bonyeza # mawasiliano, sasa cjui ni ya nin ila nijuavyo mim ni business.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Human Trafficking inayofanyika St. Joseph University idhibitiwe

    Mi naomba usamehewe tu, maana hujui ulichokiandika! By the way, ukikaa kimya hutaonekana mjinga Bali mwenye busara zaidi maana sio kila kitu uchangie hata kama hukijui
  9. T

    JamiiForums Tanzania Human Trafficking inayofanyika St. Joseph University idhibitiwe

    Nadhani hawako aware na sheria ya kupinga usafirishaji haramu (anti - trafficking act no 6 of 2008 of Tanzania) chini ya sheria hiyo ni kosa kubwa sana, kwa maksudi kuharibu travelling documents za mtu kwa lengo la kumtumikisha?!! I hope serekali isikie kilio cha binadam hao
  10. T

    JamiiForums Tanzania Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato

    Watu wengne bhana sijui mpoje, kwani huwezi kutangaza biashara yako kwa njia ambayo hata mtu asitishike ama kuogopa? Sema tu mim dkt. Nani sijui natokea mbinga ni mtabibu wa kienyeji/ramli napatkana songea natibu maradhi, umasikini na ujinga, umemaliza na watu wanaelewa!!
  11. T

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kumfufua binadamu aliyekufa...

    Ahhaahaa! Mtonyo mrefu
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye microchip yaanza kuwekwa katika miili

    Ahahaha! Ukiona hivyo basi ujue pia ni dalili za nyakat za mwisho, kila mtu mjuaji.
  13. T

    JamiiForums Tanzania Afande Siro, hii ni kudhalilisha jeshi, hawa Polisi waadhibiwe

    Halmashauri ipi hyo mkuu ulipo?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji 765 wakamatwa Mkoani Kigoma

    Download hii kitu " Tanzania citizenship act no.6 of 1995, itakusaidia kujua tofauti zao mkuu
Back
Top Bottom