Nafasi ya secretary (1) na afisa uhusiano microfinance (3)

MarkD

Member
Jan 10, 2012
64
34
Kwa walioko tayari kuanza kazi tarehe 4 Aprili, 2016 wafike ofisini kwetu kwa usaili mfupi tupo Kinondoni Barabara ya mahakama kuna jengo la ghorofa lililojengwa kwa tofali za kuchoma, tupo ghorofa ya tatu (3) ofisi nambari 148.

Tuna hitaji Office Secretary (1) awe na angalau diploma ya mafunzo ya usecretary, akiwa na uzoefu atapewa kipau mbele. Mshahara ni mazungumzo.

Tunahitaji pia watu watua (3) kwa nafasi za RELATIONSHIP OFFICERS - MICROFINANCE ambao kazi yao kubwa ni kujenga mahusiano ya kibiashara na wateja wetu ambao ni taasisi za Microfinance na SACCOS. Sifa: mwombaji lazima awe na angalia elimu ya shahada ya kwanza na kuendelea katika fani yoyote ya biashara. Pia mwenye uzoefu wa kufanya kazi kwenye SACCOS ama taasisi ya Microfinance atapewa kipaumbele zaidi. Mshahara mnono utatolewa.
kwa mawasiliano zaidi 0753 125474 au 0786 972232.

tafadhali fika siku ya Jumatano tarehe 30 Machi, 2016 na CV na vyeti halisi. Tutapokea washiriki kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 8:00 chana.
Karibuni sana na niwatakie mafanikio mema.
 
Jina la kampunii
 
Nina diploma ya international relations, siwezi kuangaliwa kwa jicho la tatu?
 
Back
Top Bottom