KAFA.cOm
JF-Expert Member
- Jun 22, 2013
- 1,301
- 739
Teknolojia ya kupandikiza kadi ndogo kwa lengo katika mwili wa binaadamu kudhibiti wizi wa kimtandao imevuta hisia za watu wengi katika maonyesho ya Teknolojia ya Mawasilano ya CeBIT ya mjini Hannover.
Kunafanyika upasuaji mdogo kisha unawekewa"chip" ndani ya kidole inayokuwezesha kupata huduma muhimu za kibenki, kufungua milango na hata kuongoza nyenzo nyingine za kidijitali.
Kunafanyika upasuaji mdogo kisha unawekewa"chip" ndani ya kidole inayokuwezesha kupata huduma muhimu za kibenki, kufungua milango na hata kuongoza nyenzo nyingine za kidijitali.