mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Miaka ya Hivi karibuni Hata ukipata kazi unayotafuta bado hujatatua tatizo.
PSYCHOLOGICAL CONTRACT ya kuamini kuwa muajiri atakuhitaji kila siku imekufa siku za hivi karibuni.
SABABU!!!
Gharama kubwa ya KUMUHUDUMIA MUAJILIWA (High cost of human talent)
Makampuni Mengi, Mishahara na Marupurupu yanagharimu 20% hadi 60% ya gharama nzima za uendeshaji. Nafasi yako inawezakuwa Outsourced na kupewa watu wengine wenye gharama ya chini (mfano voda). Kazi unayoringia inaweza kuwa reduntant muda wowote kutokana na kuyumba kwa uchumi, ongezeko la gharama au kuwa replaced na techniology. Badala yake makampuni yanawekeza kwa watu wachache wanaoshikilia vitengo muhimu (wealth creating roles). Je uko tayari kuwa miongoni mwa hao wachache. inawezekana lkn sio rahisi.
UKWELI MCHUNGU;
1:Unamiliki Career yako na sio KAZI. Mwajiri wako anaweza kubadili mfumo muda wowote kulingana na ushindani na wenda mfumo mpya usikuhitaji wewe au nafasi yako.
2:Uimara wa Proffesion yako na Uhuru wa kifedha utatokana na Career yako sio Kazi unayofanya au ajiliwa.
3:Kuridhika na Proffession yako kunategemea Career uliyoijenga sio Promotion unazopata hapo kazini.
HATARI KUBWA ITAKAYOKUGHARIMU KATIKA MAISHA YAKO YA KAZI
Kama ilivyo katika UWEKEZAJI inashauriwa usiweke pesa zako zote katika Mradi mmoja, ndivyo ilivyo Kufanya Mapato yako yoote yasitokane na Kampuni/Taasisi Moja tu unayoifanyia kazi. Maana yake siku ikifa/ukiondolewa na wewe huna chako tena. Kwa nini uchague maisha ya Stress. Na kupoteza Mamillion kwenda kutibiwa magonjwa ya moyo India?
UFANYE NINI SASA? USHAURI WA DHAHABU
Career Acts!!
Hii ni Interests zako,, Uwezo na talanta zako uzibadili ziwe vyazo vingine mbadala wa kipato. Hacha kupoteza Muda Mwingi kuremba CV yako ili umfurahishe mwajiri wako, Anza sasa Mipango ya kuendeleza career acts zako. Achana na Msemo wa kale kuwa Nikifanya vizuri nitamfurahisha Mwajiri, Kwa upande mmoja ni sahihi lakini Kumbuka kutengeneza dependency katika uhitaji unaobadilikabadilika sio kazi rahisi ila inawezekana.
Jitengenezee Multiple income generating alternatives ambavyo vitaambatana na kazi yako. Tumepewa masaa 24 siku 7, jiulize unazitumiaje. Sikuhamasishi ufanye mambo mengi kiasi kwamba ujichoshe na kuwa useless kwa Muajiri, Bali Nasisitiza Tafuta Multiple Wealthy Creating activities ambazo unazipenda na kuzifurahia ambazo zitaendana na maisha yako na kukupa amani. Zitakazo kupa uhuru wa kifedha, na kukufanya usiwe muhanga wa ajira yako, Hizi ndizo ninaziita CAREER ACTS.
Uhuru wa kitaaruma na Kifedha, haujawahi kuwa wa muhimu miaka yote kuliko leo.
MWISHO,
NELSON MANDERA alisema “There is no passion to be found playing small—in settling for a life that is less than the one you are capable of living.”
Tafadhali, tafadhali sana, Amua kuchukua umiliki wa CAREER yako sasa, Tengeneza Career Acts zako leo usisisubiri kesho,
Hii elimu ni bure kwetu JF Members tu, Inafanyika through PM, Ila usiwe mvivu wa kusoma Maana mwisho wa kujadiliana nitakupa free Copy/soft ya kitabu kitakachokuimarisha zaidi katika MADA HII. Karibuni
1:Kutambua Career ACTS zako?
2:Jinsi ya kutengeneza Career yenye Multiple Career acts?
3:Kuplan na kukuza Career ACTS ZAKO?
4:Career Acts kulingana na uhalisia wa Kazi/ajira unayofanya?
5:Self Development techniques to close the gap in knowledge, skills and abilities?
6:Assessing your risk of loosing your job and how to find solution
7:Link between Your job,Career acts and the road to owning
" SPECIALIZATION IS FOR INSECTS "