¡Hola amigos. ¿Que tal?

¡Hola amigos. ¿Que tal?

Exactamente mi líder, el problema es el Uswahili-Wetu !! esta gente no le gusta aprender nunca, al igual que risa que se sienta y decepcionar a los demás !! Si podemos !!

Jerrymsigwa Mkuu acha kuzingua bhana!!
Exactly!! Kiukweli tuna karibisha ideas mbali mbali kwa lengo la kuinua na kuongeza walau ka uzoefu wa hii lugha kwa hata miaka miwili kwetu ni jambo jema, nawewe usiejua usiishie kukubali kwamba hujui bali kupitia wachache wanaojua vichache walau waeza pata mwangaza.
 
Google translator at work
Wew na Mimi tunaamini kwamba hakuna kinachoshindkana kwenye hii lugha na ukwel ni kwamba we are not full expert google pale Kati ina play part kwa maneno maguumu lakin sio hadi good morn tu gugo kwa translator but yote kwa yote ni kujifunza mkuu jerry # bien venido aprender espana la lengua
 
Boa tarde como estas...?aqui todo bem so calore de mais....poraaa...
 
Hapa , bwawani pana ruba ....mie najua kikatalan (watu wa barça, espanyol, Valencia,elx, vila real n.k ) watakuwa weshafaham......podem fer un grup de WhatsApp ? Que et pareixes ? Bè ?
 
Hapa , bwawani pana ruba ....mie najua kikatalan (watu wa barça, espanyol, Valencia,elx, vila real n.k ) watakuwa weshafaham......podem fer un grup de WhatsApp ? Que et pareixes ? Bè ?
Hiv utofaut wa Spanish wanayotumia mexico na Spain ni ipi
 
Back
Top Bottom