Zijue athari za uchawi wa ghaskhini katika kazi zetu za kujipatia kipato

Hakuna Kuokoka na kumtumikia Mungu ndio hutoweza kudhurika na wachawi imani yako ndio inavyokutuma. Kitu hicho cha mambo ya uchawi kwenye Biblia kuna habari zinazo husiana na wachawi na Nabii Musa alipambana na wachawi wa Farao itakuwa wewe na mimi eti tuokoke ndio uchawi hautaweza kutudhuru imani potofu hizo Muombe Mungu akuılinde na nguvu za wachawi ni viumbe wabaya sana katika ulimwengu wetu. Unaweza kuokoka na ukadhurika na nguvu za uchawi kinachotakiwa ni kumuomba Bwana Mungu peke yake ndio mwenye uwezo wa kukulinda wewe na nguvu za uchawi. Sio kiumbe mwengine yoyote yule usiombe ukarogwa utarogeka tu. Muombe Bwana Mungu mmoja peke yake ndio mwenye uwezo wa kukulinda na nguvu ya uchawi sio kiumbe mwengine yoyote hawezi kuzuia nguvu ya uchawi.
Ni vizuri umekiri hakuna kiumbe anayeweza zuia uchawi zaid ya Mungu" kwaio viumbe wanaweza kutibu tu si ndio?. Maana mwisho umeandika kuna tiba.
Tiba ni kuwa karibu na Mungu zingine ni uzushi tu na kuibia watu hela.
 
Kabla hujasema juu ya kuokoka na kurogwa, ulitakiwa kujua kwanza kuokoka ninini badla ya kutumia nadharia usizozijua. Hakuna mchawi wala uchawi ulio juu ya Mungu. Mchawi kkumroga mtu aliyeokoka itambidi amroge Mungu kwanza ndipo amfikie mtu aliyeokoka.

Mchawi anatumia nguvu za shetani, aliyeokoka anatumia nguvu za Mungu. Nani ananguvu zaidi?

Inakubidi utofautishe kati ya hali mbili "KUOKOKA" na "KUWA NA DINI".

Ninasema hapa kwa sabbu ninahakika hujui nini maana halisi ya "WOKOVU". Na sijui nani amekuaminisha kwamba mtu aliyeokoka ni mbumbumbu asijue kwamba KUNA UCHAWI. Anayesema uchawi haupo, huyo bila shaka hajaokoka kwa sababu aliyeokoka hawezi kupingana na Biblia ambayo mara nyingi tu imesema habari juu ya uchawi na wachawi na haijawahi kusema kwamba uchawi haupo.

LAKINI HAKUNA UCHAWI KATIKA ISRAEL NA WALA HAKUNA UGANGA KWA YAKOBO.
Kwani wew upo ISRAEL mkuu?
 
Duuuuh yani mmebishana mpka mmetoka nje ya mada, mada imeisha utamu. aarrggghhh
 
Poleni wanadini wa upande wa pili kuamini mambo ya Jeusit.
Jesus is not your answer but QUR'AN AND SUNNAT IS YOUR ANSWER.
YOU ARE ALL WELLCOME.
 
Sijatangaza Biashara mimi kwani hapo kuna biashara gani niliyo tangaza? mbona unanizulia na jambo ambalo sijalisema? Mimi sio Mtibabu wa kienyeji kwanza sheria za Mtandao hauruhusiwi kujitangaza kuwa wewe ni mtibabu wa kienyeji utaweza kufungwa mimi wala sijakulazimisha uweke Comments zako ninakuona unaingilia mambo ambayo hayakuhusu bora ungelinyamaza kimya ingelikuwa ni bora zaidi kuliko kutaka kujibishana na mimi. Kama huna kitu cha kusema bora unyamaze kimya kuliko kuropoka na maneno yasiyokuwa na faida yoyete ile.
Ukitaka tiba ya uchawi huu bonyeza # mawasiliano, sasa cjui ni ya nin ila nijuavyo mim ni business.
 
Kabla hujasema juu ya kuokoka na kurogwa, ulitakiwa kujua kwanza kuokoka ninini badla ya kutumia nadharia usizozijua. Hakuna mchawi wala uchawi ulio juu ya Mungu. Mchawi kkumroga mtu aliyeokoka itambidi amroge Mungu kwanza ndipo amfikie mtu aliyeokoka.

Mchawi anatumia nguvu za shetani, aliyeokoka anatumia nguvu za Mungu. Nani ananguvu zaidi?

Inakubidi utofautishe kati ya hali mbili "KUOKOKA" na "KUWA NA DINI".

Ninasema hapa kwa sabbu ninahakika hujui nini maana halisi ya "WOKOVU". Na sijui nani amekuaminisha kwamba mtu aliyeokoka ni mbumbumbu asijue kwamba KUNA UCHAWI. Anayesema uchawi haupo, huyo bila shaka hajaokoka kwa sababu aliyeokoka hawezi kupingana na Biblia ambayo mara nyingi tu imesema habari juu ya uchawi na wachawi na haijawahi kusema kwamba uchawi haupo.

LAKINI HAKUNA UCHAWI KATIKA ISRAEL NA WALA HAKUNA UGANGA KWA YAKOBO.
 
ubarikiwe milele ndg yangu.umeongea sawa sawa na maandiko matakatifu. ambayo ni maneno ya mungu aliye hai.yaani mungu ibrahimu .isaka na yakobo
 
Uchawi? Nashindwa kuelewa mbona wasitengeneze hela au kuiba benki au kutokea dunian bila kuzaliwa..... Au wakifa wasioze km binadam wengine huwa ni mambo ya kuzuia tu..na hili ukilifikiria sana kwa undani halina ukwel ni just imagination ya watu ili kuwatisha watu wengine na hii inspiration za TV nazo dah.... Mungu tusaidie watanzania maana tunashindwa kusonga mbele tukihofia vitu vyisivyo na proof
 
Kabla hujasema juu ya kuokoka na kurogwa, ulitakiwa kujua kwanza kuokoka ninini badla ya kutumia nadharia usizozijua. Hakuna mchawi wala uchawi ulio juu ya Mungu. Mchawi kkumroga mtu aliyeokoka itambidi amroge Mungu kwanza ndipo amfikie mtu aliyeokoka.

Mchawi anatumia nguvu za shetani, aliyeokoka anatumia nguvu za Mungu. Nani ananguvu zaidi?

Inakubidi utofautishe kati ya hali mbili "KUOKOKA" na "KUWA NA DINI".

Ninasema hapa kwa sabbu ninahakika hujui nini maana halisi ya "WOKOVU". Na sijui nani amekuaminisha kwamba mtu aliyeokoka ni mbumbumbu asijue kwamba KUNA UCHAWI. Anayesema uchawi haupo, huyo bila shaka hajaokoka kwa sababu aliyeokoka hawezi kupingana na Biblia ambayo mara nyingi tu imesema habari juu ya uchawi na wachawi na haijawahi kusema kwamba uchawi haupo.

LAKINI HAKUNA UCHAWI KATIKA ISRAEL NA WALA HAKUNA UGANGA KWA YAKOBO.
Shetani asema "mimi ni mfalme wa ulimwengu"
 
Wewe unamtofautishaje mtu aliyeokoka na yule anayesema ameokoka na kumbe bado? Wewe ndiye unajidanganya. Hakuna shetani yeyote kati ya mashetani yako aliye juu ya MUNGU. Hilo sahau. Unajuae kwamba wanaokuja kwako mchawi, huku wakisema wameokoka ni kweli wameokoka? Unapima vipi imani zao kama ziko katika maneno yao?

Mzizi angalia. Hivi ni watu wangapi hat katika ulimwengu wako wa kichawi ama huu wa kawaida ambao wanajiita ni wachawi ama waganga lakini siyo? Wewe, wala shetani, wala wafalme, wala mamlaka wala utawala wowote hauwezi kubatilisha UKUU WA MUNGU KATIKA KRISTO YESU. NAOMBA USAHAU NA HATA SIKU MOJA USIJILINGANISHE NA KRISTO. KAMA VILE MCHAWI AMBAVYO NI LAZIMA AROGE, KRISTO NI MWOKOZI NA LAZIMA AOKOE UTAKE USITAKE.

Wewe cheza kwenye anga zako tu na hao unaowaweza lakini kamwe KIWANGO CHA KRISTO SIYO CHAKO WALA SI CH A HUYO SHETANI UNAYEMSIFIA!.
Mungu na shetani wanafahamiana. Soma Ayubu 1:6-9
 
Uchawi? Nashindwa kuelewa mbona wasitengeneze hela au kuiba benki au kutokea dunian bila kuzaliwa..... Au wakifa wasioze km binadam wengine huwa ni mambo ya kuzuia tu..na hili ukilifikiria sana kwa undani halina ukwel ni just imagination ya watu ili kuwatisha watu wengine na hii inspiration za TV nazo dah.... Mungu tusaidie watanzania maana tunashindwa kusonga mbele tukihofia vitu vyisivyo na proof
Kwani kuna proof kuwa Mungu yupo?
 
Back
Top Bottom