Umeweka cash au cheque? Kama ni cheque ya bank nyingine inakuwa na muda wa Ku clear, inaweza kuwa cku 4 hadi 14 za kazi kitegemeana na mazingira uliyopo!
Inaonekana kama umeconclude kuwa mtoa mada hana hela. Nafikiri mtoa mada anazungumzia ndoa na vitu vingine vikiwa constant(ceteris paribas). Sio fomula kuwa ukiingia kwenye ndoa utakuwa huna hela!
Watu waliozidi umri wa kawaida wa kuoa na kuolewa(23-28 kwa wadada) na (28-32) kwa wanaume wanaleta Mashaka as either ni wabinafsi Sana, hawajiamini au Ni wagumu Sana kujichanganya na watu wengine! Kiufupi wengi hawaamini katika long term relationships! Ukioa au kuolewa na mtu kama huyo...
Kesi kama yako iliwahi kutokea kwa jamaa mmoja tukiwa Chuo! Jamaa alikuwa na gf wake chuoni, cku moja jamaa kamkuta binti na njemba nyingine room! Yule binti kajifanya hamjui Msela na akaanza kumpigia kelele za mwizi! Jamaa alipigwa xana akaenda kufia hospital baada ya kuokolewa na rais wa Chuo...
Swali alilouliza Ni la msingi, nisingemshauri aanzie maisha kilimanjaro kama anataka kutoka fasta! Unaweza jikuta unafanyia kazi Kula pekeake! Hata hivyo sidhani kama utakuwa na option ikiwa unafanya kazi ya kuajiriwa!
Mkuu watu wote tunatamani kuwa na Ligi bora na kuwabakiza wachezaji wazuri, lkn nashindwa kuona Ni jinsi gani tutafika huko! Tuna matatizo kila upande, kuanzia kwenye kukuza hao wachezaji hadi kwenye miundombinu, fikiria tu kuwa Ni timu moja tu ambayo ina uwanja unaofaa pamoja na shule ya soka...
Ishu ya kuchepuka ni tabia ya mtu. Kuna watu wengi tu ambao wapo pamoja na still sio waaminifu na vilevile wapo watu wengi tu kwenye hizo long distance relationship ambao ni waaminifu kwa 100%
Theory zote zinaeleza wazi, arousal kwa mwanaume inatokea kwa kuona, na ndo sababu wanawake ni wazuri kwa sura na maumbile. Arousal kwa mwanamke ni psychological. Ndo sabab unahijaji kumuandaa kiakili kabla ya kitendo. Wanaume wote au tuseme zaidi ya 90% wanatamani kuchepuka isipokuwa kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.