Banki. Available balance vs actual balance

Banki. Available balance vs actual balance

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
644
Nimeweka leo hela kwenye account ya CRDB kwa lengo la kuitransfer kwa mtu mwingine. Cha ajabu hiyo hela inaonekana kwenye available balance, actual balance ni 0. As a result kila nilitaka kufanya transaction inashindikana. Nimewapigia customer care wako busy, 3 hours now. Tatizo laweza kuwa nini na possible short term solution
 
Kwa kawaida wanatenganisha hvo vitu kwa maana kuna balance yote iliyopo kwenye a/c na hiyo nyingine ni hile unayoweza kutoa kwa maana huwezi toa hela yote lazma nyingine ibaki so kama umeambiwa Actual Balance ni 0 sawa hauna kitu unaweza to kwenye A/C yako.
 
Lakini nimeweka leo tu hiyo hela. Na yote inaonekana kwenye availabe balance
 
Mimi nahisi kama ni tatizo la system communucations labda uvute subira
 
Duh,sio tatizo,ila unapo-deposit kwa teller hela kwenye a/c itaonekana kama available balance,kule benk kuna watu wana-authorize,wakifanya hvyo bas itakuwa actual balance,nadhan mpaka muda huu umefanikiwa,hyo available huwez kuitoa wala kufanya lolote
 
Mkuu ungesema umeweka kiasi gani, maana huwa kuna makato ya mwezi na makato mengine mengine..
 
Umeweka cash au cheque? Kama ni cheque ya bank nyingine inakuwa na muda wa Ku clear, inaweza kuwa cku 4 hadi 14 za kazi kitegemeana na mazingira uliyopo!
 
Back
Top Bottom