Kwa wakina kaka tu

Kwa wakina kaka tu

Explain further utakamvyofundisha mchuchu wako how to love and care hahaha joking......

Kuna wadada above 30 ni warembo kushinda hao below 25 , ns utataka uspend naye, muende wote beach/mbugani.

Hilo la kushindwa hoja ndio maana nikasema wengi wenu mna inferiority complex,kuna kosa gani akikushinda??? Mnapenda kuwa juu mnasahau nyie ni viumbe kama sie tu na sio super beings!

nikiongelea sana mtaniambia nanyanyasa wanawake, lakini siku zote mwanamke akiwa juu kuliko mwanamme, apo inakua hapana mapenzi
 
Kweli tuko tofauti. Nikatafute mtoto wa 25- nimpeleke wapi?
Kwangu mdada awe mature, anajielewa, ameshapitia kashkash za maisha na anajua wapi alipo na anaenda wapi.

Kwangu 28+ ndio umri ninaopenda, otherwise hao 25- siwezi hata kujaribu.
 
Hivi hilo la kumzidi miaka mitano lina nini mkuu??,whats the secret behind??
The secret behind ni kwamba mwanamke amemzid mwanaume miaka miwili kiakili na ili mume aweze kuwa kichwa cha nyumba angalau aweze kuheshimika na kupewa heshima yake inabidi umzidi miaka, hata wanawake wenyewe wanakuwa comfotabo anapokuwa na mwanaume aliyemzidi umri kuliko ambaye wako sawa au yeye ni mkubwa, ndo maana wanasaikolojia wanasema mwanamke asikuzidi kipato au umri la sivyo mwanamke ndo atakuwa kichwa cha nyumba
 
ni vigumu sana kumueleza kitu akakuelewa, ndoa nyingi zikifika above miaka 30 hubakia uzoefu tu

Aisee ......

Binadamu anaweza kujifunza wakati wowote ule na tena wakati ambao anajitambua ndio anaweza kujifunza kwa uzuri zaidi kwasababu anakuwa anajua anachofanya

Kwenye utoto kuna kulazimishana sana na ndio maana kuna majanga makubwa sana,kumuoa mwanamke ambae ni above 30 au late 20's kuna raha yake kwasababu unakuwa uko na mtu mzima na anaejitambua sana na wala hakuna mambo ya kulazimishana kufanya mambo

Ukion doka nyumbani na kumuacha [kama ni mama wa nyumbani] unakuwa kabisa unajua umemuacha mtu mzima na sio yule wa kuanza kufikiri "hivi ataweza kufanya hiki au kile"? Usidhani nimeoa mtu mzima na ukafikiri navutia kwangu,hapana, sijaoa na niko kwenye kusaka hivyo ninachokiongelea ni kitu ambacho nakiona kinatokea!
 
The secret behind ni kwamba mwanamke amemzid mwanaume miaka miwili kiakili na ili mume aweze kuwa kichwa cha nyumba angalau aweze kuheshimika na kupewa heshima yake inabidi umzidi miaka, hata wanawake wenyewe wanakuwa comfotabo anapokuwa na mwanaume aliyemzidi umri kuliko ambaye wako sawa au yeye ni mkubwa, ndo maana wanasaikolojia wanasema mwanamke asikuzidi kipato au umri la sivyo mwanamke ndo atakuwa kichwa cha nyumba

May be maybe,maybe not!!
 
Kweli tuko tofauti. Nikatafute mtoto wa 25- nimpeleke wapi?
Kwangu mdada awe mature, anajielewa, ameshapitia kashkash za maisha na anajua wapi alipo na anaenda wapi.

Kwangu 28+ ndio umri ninaopenda, otherwise hao 25- siwezi hata kujaribu.

We are on the same boat bro .....!!
 
Watu waliozidi umri wa kawaida wa kuoa na kuolewa(23-28 kwa wadada) na (28-32) kwa wanaume wanaleta Mashaka as either ni wabinafsi Sana, hawajiamini au Ni wagumu Sana kujichanganya na watu wengine! Kiufupi wengi hawaamini katika long term relationships! Ukioa au kuolewa na mtu kama huyo unahitaji kujituma kweli kumbadilisha!
 
unazungumzia wanawake wasiojua maazoezi wala diet na hawa ni wote hata kama alizaa na 20. Tumeona watu wameanza kuzaa na 40 na bado wana viuno kama nyigu na body ni nzuri. Cha muhimu ujue nini cha kula na mazoezi ya kufanya
unanipa wasiwasi
 
Mwanamke mzuri ni yule alifanya aina zote za u.m.alaya akaamua kuacha
haijalishi umri
muhimu utulivu wa kimaendeleo.
 
Nilishaongea sana mpaka nikachoka, ndoa haina formula sio math sio kuiga sio umri sio rangi kuondoa mkosi nk.

Ndoa ni muungano wa ke na me katika kuishi pamoja, baada ya hapo kuna mambo ambayo ni muhimu kuwanayo kama upendo n.k

Umri sio hoja, hoja ni nini tafsiri yako ya ndoa kwa mwenza wako na aina gani ya maisha mtakayo.
 
Unazungumzia wanawake wasiojua maazoezi wala diet na hawa ni wote hata kama alizaa na 20. Tumeona watu wameanza kuzaa na 40 na bado wana viuno kama nyigu na body ni nzuri. Cha muhimu ujue nini cha kula na mazoezi ya kufanya

hiyo kwa wanawake wa majuu sio wakibongo hawa wapenda hotchair
 
Above 30, HAJAWAHI FANYA, ambaye hajawahi toa mimba, kilomita isiozidi laki mbili! HAIWEZEKANI.
 
Back
Top Bottom