Long distance relationship, uaminifu zero

Long distance relationship, uaminifu zero

Mapenzi yanahitaji ukaribu sana ili yastawi hata kama mnapendana, usijidanganye sana n mapenzi ya mbalimbali baina ya wewe ma mwenzi wako unauziwa mbuzi kwenye gunia ni nadra sana kuwepo na uaminifu kwenye mapenz ya namna hii

Mie namuamini wangu na yy kadhalika, kwanza mie mnaelewanA na kuambizana ukweli, Kama ni Mke na mume mtanguluzeni Sana mwenyezi mungu awape hifadhi na staha, awaepushie na ibilisi na hujaribu Sana kukaa mbali na vishawishi...
 
Kukaa such kind of r'ship kunahitaji wawili ambao tayari wamekubaliana na wamejiwekea malengo yanayoeleweka.mtu yupo yupo tu...:what:

Ni kutafuta barafu mwingine vizuri tu.Vinginevyo unaweza kujikuta unasubiri meli huko airport.
 
yeah!! inahitaji comitment ya hali juu, ni ngumu mno!
 
Mapenzi yanahitaji ukaribu
sana ili yastawi hata kama mnapendana, usijidanganye sana n mapenzi ya
mbalimbali baina ya wewe ma mwenzi wako unauziwa mbuzi kwenye gunia ni
nadra sana kuwepo na uaminifu kwenye mapenz ya namna hii

pesa mambo yote na ivi fast jet walishusha bei?
 
pesa mambo yote na ivi fast jet walishusha bei?

Kwa hiyo utaacha shughuli zako za kukuingizia ugali kila siku upae na fast jet na je kama mpenz wako yupo mkoa ambao fastjet haifiki au nje ya nchi
 
Mim kilichowahi kunikuta mpaka leo huwa natabasamu tu zangu maana hatakulia nilishindwa, fimbo ya mbali aggggrhhh!!!
 
Noohh inategemea, wanawake wanaweza sanaa kuvumilia. Me nishawahi kukaa mmbali na wangu hata sijawahi chepuka. Kila taswira ya mapenzi ikija namkumbuka yeye tuu.

Njia ni nyingi zakujicontrol, ukimkumbuka masta...Suluhisho .. Wanaume ndio hawawezi. Me km nampenda mwenzangu basi hata nikiwa na mtu sipatistim ya mcholingo wa mwingine kabisaa. Taswira inayonijia ni ya yule nnaempenda.

Kama ya kweli haya hongera kwa uaminifu,una mdogo wako?😛
 
Mapenzi yanahitaji ukaribu sana ili yastawi hata kama mnapendana, usijidanganye sana n mapenzi ya mbalimbali baina ya wewe ma mwenzi wako unauziwa mbuzi kwenye gunia ni nadra sana kuwepo na uaminifu kwenye mapenz ya namna hii

Mkuu rasdavy; ulichokisema kina ukweli ndani yake, Mi nina mpenzi yupo arusha mimi nipo dar, ni kila siku tunagombana yaani anataka mimi ndo kila siku nimkumbuke nisipompigia tunaweza kaa wiki hatujawasiliana,na hata ukimpigia hana story zaidi yangu mimi kubwabwaja bwabwaja maneno mengi hata kama ukitengeneza mazingira ya yeye aongee hataki wakati huo huo bado tunahesabika kama wapenzi. Sasa najiuliza hivi hapa kuna UAMINIFU ?

Kwa upande wangu najitahidi nijikeep busy ili nisitamani Mwanamke. sasa sijui upande wa pili...Inanipa shida kweli kuhusu hili nawaza mengi sana kuhusu uaminifu wa huyu huyu mdada..

Kwa hiyo naweza kuku unga mkono kuwa mapenzi ya mbali mbali mara nyingi hayana uaminifu.
 
Last edited by a moderator:
Ishu ya kuchepuka ni tabia ya mtu. Kuna watu wengi tu ambao wapo pamoja na still sio waaminifu na vilevile wapo watu wengi tu kwenye hizo long distance relationship ambao ni
waaminifu kwa 100%
 
to the small extend it works coz sisi tunaweza kuvumilia hata mwaka mzima ila ME ni swala lingine kabisaaaaaaaaaaaaaaa lazima atachepuka

Lin ...usiseme ME lazima futa hilo kichwani, inategemea na mtu na mtu. There are who stay faithful till last, and we are witnessing them.
 
  • Thanks
Reactions: lin
Ishu ya kuchepuka ni tabia ya mtu. Kuna watu wengi tu ambao wapo pamoja na still sio waaminifu na vilevile wapo watu wengi tu kwenye hizo long distance relationship ambao ni
waaminifu kwa 100%

100% you are quite correct.
 
to the small extend it works coz sisi tunaweza kuvumilia hata mwaka mzima ila ME ni swala lingine kabisaaaaaaaaaaaaaaa lazima atachepuka

aise si kweli watu tuna mwaka hatujaona ndani..ila naamini ukiamua inawezekana...mm sikujua kama naweza kukaa mwaka mzima sijakamua..ila its possible ni uamuzi tu na kuconcetrate na maisha
 
  • Thanks
Reactions: lin
Kugawa papuchi nitabia ya mtu. Wanawake wanauwezo mkubwa sanaa wakuvumilia.

mhm...wanawake hawana uwezo mkubwa sana wa kuvumilia. wangekuwa wanauwezo wakuvumilia tusingekuwa tunawageggeda na tungeoa mabikra
 
Back
Top Bottom