baby's mama siku zote wanajua kupenda girls zao..... nimeona kwa kaka zangu na kwangu pia... au movie reference angalia think like a man.... and.... think like a man too utaona baby's mama wanavojua kupenda na kujali watu wao
sijaelewa hapo... nimekosea ama?Badala ya baby's mama afadhali ungesema mama's baby au hata mtoto wa mama!