asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,039
wewe ulianzia wapi nivea?mbeya ,singida ,iringa
Daslaam kweli? bila usafiri wala AC mara 3 kwa siku?(ofisini ,nyumbani ,garini)dar es salaam
upo Arachugaa weye?Njoo chugga
wewe ulianzia wapi nivea?mbeya ,singida ,iringa
Daslaam kweli? bila usafiri wala AC mara 3 kwa siku?(ofisini ,nyumbani ,garini)dar es salaam
upo Arachugaa weye?Njoo chugga
Habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya Tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!
Mdau kauliza kispoti
kwa sababu hapa ni kijiweni, sio kwamba hawezi kulicomplicate swali.
Amechochea mjadala tu.
Kimsingi inategemeana na nini umesoma au nini unataka kufanya. Kuna vitu
ili ufanikiweinabidi uwe kwenye majiji makubwa kama Dizim, Mwanza,
Arusha etc. kwa mfano kama wewe ni advocate unayeanza ukienda Katavi
utafulia sana wakati Dizima utapata dili za kuanzia maisha kirahisi.
Ukiwa mwalimu au mtumishi wa daraja la kati serikalini ukienda Katavi
una uwezekano wa kupanda vyeo kirahisi na kumudu maisha kirahisi. Kwa
hiyo mpira ulingoni akili kichwani...
Swali alilouliza Ni la msingi, nisingemshauri aanzie maisha kilimanjaro kama anataka kutoka fasta! Unaweza jikuta unafanyia kazi Kula pekeake! Hata hivyo sidhani kama utakuwa na option ikiwa unafanya kazi ya kuajiriwa!Seriously?..mhitimu?how can you ask this(no offense)!
Popote pale mtu anaweza kuanzia maisha, inategemeana na
-bidii katika shughuli/kazi yako,
-uchangamkiaji wa Fursa/nafasi mbalimbali(kutosubiri kuambiwa kuna nafasi fulani unaweza fanya kazi hii).
-Upatikanaji wa huduma za kijamii.
-n.k
Nasema hivi kwa sababu unaweza kwenda mikoa idhaniwayo kuwa gharama ya maisha iko chini mf. Mbeya, Singida, mikoa ya Kanda ya ziwa n.k lakini "kubweteka" na kutozingatia vitu kadhaa nilivyotaja juu(pamoja na mengine kukafanya usifanikiwe. na pia mikoa inayoogopwa kwa gharama za kimaisha mf. hapa Dar es salaam, Arusha n.k ukaiogopa lakini kwa kujua utaishie/kuchangamkia fursa zaidi kukaffanya upanue wigo wa kimaisha na kimaendeleo pia.
Swali la msingi ni unataka kujishughulisha na nini, kwa ushauri wangu bidii ya kazi(na hasa kazi zaidi ya moja) matters hapa.
chuo kukuu!!!tafadharini???Habari wanajamii. Mimi ni mhitimu wa chuo kukuu ktk kitivo cha elimu, naomba mnipe ushauri kuhusu mikoa ya Tanzania ambayo mtu anaweza kuanzia kufanya kazi na kufanikiwa kimaisha. Asanteni sana na mungu awabariki, naombeni ushauri wa kunijenga tafadharini sana ndugu zangu!