Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

Sio mbaya kushea yanayoendelea huko PM

pm raha sana kuna member mmoja alinitumia nyuchi eti nikamsaidie kufyeka nyasi lol!
 
PM wanatongozana madume rijali yakigundua yananuna balaa
 
Huko we acha tu. Kuna shangingi moja nilim PM mwaka jana hakunijibu basi hadi leo nna kijiba cha roho. Nikawa nikiona amekomenti kwenye uzi nalipita jukwaa ka naruka moto siku moja akani quote komenti yangu weee nilimuwashia moto ule wa jehanamu una afadhali.
 
Hahahaaa....watu mna kazi kweli
 
Uliza_Bei;10373972]PM wanatongozana madume rijali yakigundua yananuna balaa, ulijuaje?
 
Huko we acha tu. Kuna shangingi moja nilim PM mwaka jana hakunijibu basi hadi leo nna kijiba cha roho. Nikawa nikiona amekomenti kwenye uzi nalipita jukwaa ka naruka moto siku moja akani quote komenti yangu weee nilimuwashia moto ule wa jehanamu una afadhali.
ulijuaje kuwa ni shangingi?
 
Back
Top Bottom