tinna cute
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 4,630
- 2,310
yaelea.umekulia maisha ya ya kutukuza pesa..
naomba unijib hili swali dogo tu, je baba yako ana hela za kumnunulia mama yako gari analotaka, kumpeleka vacations, nyumba nzuri geti kali etc etc,
na kama hana huo uwezo unahisi mama yako ni mjinga kufanya nae maisha na baba yako?
na kama baba yako ni tajiri, unafikiri pesa ndio iliemfanya mama yako aolewe nae??
Mama na baba yng hawakuhusu na maisha yao na hawajui kama kuna kitu kinaitwa jf so siwezi kuwajadili hapa,,,,,,,,,,,,,,,,,,, jadili mada huwezi kazimue viroba.