Recent content by sucher

  1. sucher

    JamiiForums Tanzania Samsung J6 plus ina ubora gani?

    Tembelea gsmarena.com
  2. sucher

    JamiiForums Tanzania Nina social anxiety

    Mkuu hilo tatizo lako ni depression na ni tatizo ambalo linawakumba vijana wengi ...kujua dalili zake ingia google search depression utaelewa vizuri au onana na mwanasaikolojiaa akusaidie...pia kuna member ameeleza kuna dawa inakubidi utumie lasihivyo tatizo hili litakuaribia maisha completely
  3. sucher

    JamiiForums Tanzania Uzuri na kasoro za gari aina ya subaru impreza 2007

    Habari wakuu, Rejea kichwa cha habari hapo juu, Napenda kujuzwa kwa wale ambao wanajua na wameshawahi kutumia Aina ya gari Subaru impreza 2007 ni cc 1500 napenda tufahamishane juu ya ulaji wa mafuta. upatiikanaji wa spea, ubora na uimara kwenye barabara zetu hizi za bongo pia uimara na kasoro...
  4. sucher

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu hii kitu imenivutia sana ningependa kujumuika kuwa Kati ya watu 300 wa mwanzo kujifunza kuhusu forex...hongera sana
  5. sucher

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya SIDO yako wapi?

    mkuu ofisi za sido makao makuu yapo upanga karibu na shule ya mzizima sec pale pia tawi lao jingine lipo kama unaelekea gongo la mboto kunakituo kabisa kinaitwa sido shuka upande wa pili wa barabara utaona ofisi zao...nadhani nimekusaidia mkuu
  6. sucher

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya VIWANDA: Tuko wapi,tunaenda wapi na tutafikaje??

    kwanza wawekezaji wa ndani pamoja na viwanda vilivyoanzishwa waangaliwe suala la operation cost ni kubwa kutokana na kodi kubwa ambayo wanatozwa ..pia serikali iwape motisha kwa wawekezaji wa ndani wanaotaka export nje ya nchi hasa taxes reduction ya atleast 30% kama wanavyofanya nchi jirani...
  7. sucher

    JamiiForums Tanzania Saluni ( barbershop) yenye huduma nzuri Dar

    watafute bitebo hair design wapo mwananyamala shule...wajanja wote tunapeleka vichwa ku dome hair hapo....nadhani nimekusaidia mkuu
  8. sucher

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo wa laki 5 urgently

    mkuu umeshapata hitaji lako la mkopo kama ulivyo omba...kama bado ni pm tuongee
  9. sucher

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya umeme linauzwa

    mkuu lipo goba sehemu gani?
  10. sucher

    JamiiForums Tanzania House4Rent Chumba Sebule Choo, MbeziBeach Kwakomba

    mbona haueleweki mkuu embu malizia taarifa yako na utaje bei yake pamoja na mahitaji muhimu yanayopatikana....tulia rudi uje utueleze haraka ya nini?...
  11. sucher

    JamiiForums Tanzania Samsung wazitangaza rasmi simu za Galaxy S7

    kuhusu sony mimi mwenyewe nilikuwa hapo baada ya muda nikajaribu samsung lakini wapi sijaenjoy kabisa...nataka kurudi na sony jamaa ni next level
  12. sucher

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Machangudoa wa Sinza Mori wezi, Chukua tahadhari

    wachina ni wanunuaji wazuri tu tena sana pale kona bar...
  13. sucher

    JamiiForums Tanzania California yakataa kondomu katika filamu za ngono

    bado wanaendelea na uhamasishaji ya vitendo vichafu tu..
  14. sucher

    JamiiForums Tanzania Davis Elisa Mosha ni nani?

    mkuu umemaliza kabisa historia ya huyu mtoto wa mujini...
Back
Top Bottom