Saluni ( barbershop) yenye huduma nzuri Dar

gwela2003

JF-Expert Member
Mar 15, 2015
1,210
1,089
wadau naomba kusaidiwa salun gani hapa dar naweza kwenda yenye huduma nzuri na usafi uliotukuka
 
watafute bitebo hair design wapo mwananyamala shule...wajanja wote tunapeleka vichwa ku dome hair hapo....nadhani nimekusaidia mkuu
 
Naona unataka zile zenye wadada wakati unanyoa wanakuwa wanakushikashika
 
Back
Top Bottom