Nina social anxiety

Nina social anxiety

"Being alone" and "being lonely" are too different things.
No, there's nothing wrong with wanting to be alone. But if you feel lonely, you need to do something before it's too late.
I'm lonely.
 
Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,

Nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu, yani muda mwingi nipo mwenyewe, na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.
Hauna tatizo lolote wewe chapakazi ujenge nchi. Hilo sio tatizo, tanzania ya sasa inahitaji watu kama wewe
 
Nashukuru sana ndugu,yani kama kuangalia mpira ndiyo sipendi kabisa, kwenye sherehe siendi, sometimes hata kwenda kusalimia tu ndugu zangu siendi sababu wanaongea sana wakati mimi mwenyewe sipendi maneno mengi.
We are many!
 
Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,

Nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu, yani muda mwingi nipo mwenyewe, na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.

Nenda pharmacy nunua SSRI anti-depressants mfano Seroxat aka Paroxetine au Prozac aka Fluoxetine. I guarantee you, in 3 weeks time you'll turn into a party animal.
 
Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,

Nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu, yani muda mwingi nipo mwenyewe, na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.
Kama uko under 25, ni hali ya kawaida kabisa... Ukisoma ile mada ya vijana unaweza kusaidika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa uzoefu wangu kupenda kuwa peke yako kuna sababishwa na-

kuhisi umezidiwa kila kitu na wanao kuzunguka anzia namna ya kuvaa,elimu, mali, muonekano yaani kifupi kujiona daraja la chini ivo suruhisho ni kukaa peke yeko (kujitenga)

kupenda kupiga puri,na kuangali video/pivha za ngono kitu kinacho pelekea muda mwingi kutamani uwe peke yako ujilipue

aibu na kuhisi watu wanao kuzunguka wanakuona mtu duni kulinganisha na wao

cha kufanya: ikubali hali yako na puuzia mawazo ya hovyo ya kujiona duni dhidi ya wengine
 
Asante sana,ni kweli nina stress sana kiasi kwamba kuna muda napata kabisa mawazo ya kujiua.
Usifikie huko mkuu, hata mimi kuna wakati nilishapitia hali kama hiyo na wapo wengi tu waliopitia hayo.

Pia ukiwa karibu na Mungu kimahusiano na kumwomba akupe Amani na Furaha hakika hata kama huna pesa na hata kama unatengwa Mungu atakupa furaha na ujasiri na utashangaa wanaokutenga na kukudharau watakutafuta.

Tumepitia huko na nina ushahidi kabisa na hili.
 
Mkuu hilo tatizo lako ni depression na ni tatizo ambalo linawakumba vijana wengi ...kujua dalili zake ingia google search depression utaelewa vizuri au onana na mwanasaikolojiaa akusaidie...pia kuna member ameeleza kuna dawa inakubidi utumie lasihivyo tatizo hili litakuaribia maisha completely
 
Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,

Nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu, yani muda mwingi nipo mwenyewe, na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.

Mkuu una tatizo, labda, depression, wrong perspective or you need to learn about life.

Depression:- Kitu Kibaya watu wanapoteza matuimaini sana.

Perspective:- You compare yourself with others and you think you have done extremely bad very bad in your life. That is common to many people so you are not alone there.

Learn about life:- read the lives of Jesus, Seneca, Marcus Aurelius, Epictetus.

Solution:-

1. Move away from your area you are at the moment, go to a village, move to another city, or another country, even for two weeks. See how many people who are poor than your are doing just fine with life.

2. Read many books of great people, look how they try to cope with their difficulties. People in prison, in war zones and extremely poor countries.

3. Don't stay alone too for too long, join church, communities or societies which you can discuss your problems.
 
Sawa lakini sifikiri kama ni tatizo la kisaikolojia pekee yake, saikolojia ni matokeo ya mambo ya ndani zaidi, pengine katika roho yako. Ingekuwa vizuri tukatambua zaidi maisha yako kiroho yakoje kabla ya kutafuta suluhisho
 
Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu,yani muda mwingi nipo mwenyewe,na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.
Una mchumba?????
 
una umri gani
unajishughulisha na nini
unaishi na nani
una boyfriend/girlfriend
before ulikuwaga na marafiki?
una ugomvi na mtu yoyote
unapenda nini
maisha yako ya kiroho yalikuwaje na yakoje
 
Nashukuru sana ndugu,yani kama kuangalia mpira ndiyo sipendi kabisa, kwenye sherehe siendi, sometimes hata kwenda kusalimia tu ndugu zangu siendi sababu wanaongea sana wakati mimi mwenyewe sipendi maneno mengi.

Tafadhali naombeni msaada ndugu zangu,

Nina hilo tatizo linanisumbua sana kiasi kwamba naweza kukaa siku nzima sijaongea na mtu, yani muda mwingi nipo mwenyewe, na mtu akijaribu kukaa na mimi naona kama ni usumbufu natamani aondoke nibaki mwenyewe.
Kama umezaliwa kati ya 23/08 hadi 22/09 , kuna uhusiano na unayo yasema. Jibu ni kwamba wala usihangaike kwa wataalamu wa psychology ukapoteza pesa , kwa sasa ndivyo ulivyo ni asili yako ,chakkufanya ni jitambua uko hivyo , ikubali hali hiyo .
 
Back
Top Bottom