Samsung wazitangaza rasmi simu za Galaxy S7

Samsung wazitangaza rasmi simu za Galaxy S7

I am moving from Samsung to something else, preferably LG.

I have to be able to remove the battery, especially with these low life batteries and long traveling days.

The S7 still does not allow removing batteries, LG G5 does, smoothly.

G5 rocks
 
Hakuna, acha ushabiki maandazi
mkuu unaijua hii tecno???
njoo na evidence tafadhali...
76e86124a2ab481a9d723e9665f77d2bFS.jpg

Tecno-Phantom-5.jpg

mkuu tecno phantom kaa nayo mbali,...unajua ni phantom ngapi hiyo????
huwez linganisha na s4/5
never..............
Sony ndo balaaaa mkuu,..ni nxt level
samahani lkn ni mtazamo wangu...
usikariri mkuu simu nzr ni sams tu...nop ni tofauti
this is the world of competition..........
 
Unaongea usicho kijua mkuu! Sony ni kampuni linalofanya vibaya sana sokoni huwezi mlinganisha na Samsung hata siku moja.

Teh teh teh! Huyo jamaa anaonekana hajui chochote kamua kuongelea vitu asivyo vijua.
mkuu ni mtazamo2 usipanic..
unajua kwanini sony haina market kma simu zenu za hovyo izo??????
njoo nikupe evidence mkuu
njoo na hoja tafadshali usipanic....
 
Haaaah zipo juu kwa lipi kutumiwa na wabongo au ni bora nitumie Nokia torch ila sio izo simu za tekno
ni kweli mi mwenyewe situmii tecno..
ila nlikuwa namuelewesha ndugu hapo juu,...kuna baadh ya samsung
ulinganish na tecno tecno ziko good kuliko hizo,....
minpo sony mkuu
 
mkuu unaijua hii tecno???
njoo na evidence tafadhali...
76e86124a2ab481a9d723e9665f77d2bFS.jpg

Tecno-Phantom-5.jpg

mkuu tecno phantom kaa nayo mbali,...unajua ni phantom ngapi hiyo????
huwez linganisha na s4/5
never..............
Sony ndo balaaaa mkuu,..ni nxt level
samahani lkn ni mtazamo wangu...
usikariri mkuu simu nzr ni sams tu...nop ni tofauti
this is the world of competition..........
hio simu tumeshaidiscuss humu processor yake ni cortex a53 na ina gpu dhaifu sana kama sijakosea ni mali t720 au 760 lakini mp4. cha ajabu wameeka resolution kubwa na gpu ndogo hivyo inazidi kuifanya iwe simu isiyo nzuri.

s4 na s5 zina krait 300/400 ambazo zina nguvu kuliko cortex a53 hivyo si kweli kwamba ina nguvu kushinda kina s5 na sababu unataka ushahidi huu hapa nakupa

armtechday2014-mobile-armv8-5.PNG

siku zote cortex a15 (equivalent na krait) ina nguvu kuliko cortex a53
 
nani ameshawahi kuiona s6 au note 5 au s7 kwa macho? mbona design yake ipo tofauti kabisa na matoleo ya nyuma?

mwaka 2015 kulikuwa na flagship moja tu ya android ambayo ni s6 zilizobakia ziliflop sana. tusubiri review za s7 ila sitashangaa nayo ikiwa na memory zenye speed kushinda wapinzani, soc isiopungua speed baada ya matumizi makubwa na warranty nzuri zaidi
Kampuni inatakiwa kuwa na signature kwenye design,samsung hawana ndo maana nasema bado wana ebolve kwenye hyo department,iphone,sony,nokia hawa wote wana signature na huo ndo ukomavu,chukua s3 linganisha na s5,alaf s5 na s6
 
kuanzia s3, kuja note 2, kwenda s4 hadi s5 zote zilitumia design moja na ile ndio signature ya design yao kwa kipindi hicho, japo haikua nzuri ila ni yao.

s2, note3 hadi note 4 nayo ni design yao ila ipo square kidogo

sasa hivi wana design mpya kuanzia s6, kuja note 5 hadi s7 na kwa muono wangu na watu wengi duniani sasa hivi hii ndio best design kwenye market, japo uzuri wa kitu unatofautiana kati ya mtu.
 
mkuu unaijua hii tecno???
njoo na evidence tafadhali...
76e86124a2ab481a9d723e9665f77d2bFS.jpg

Tecno-Phantom-5.jpg

mkuu tecno phantom kaa nayo mbali,...unajua ni phantom ngapi hiyo????
huwez linganisha na s4/5
never..............
Sony ndo balaaaa mkuu,..ni nxt level
samahani lkn ni mtazamo wangu...
usikariri mkuu simu nzr ni sams tu...nop ni tofauti
this is the world of competition..........
Ni ishamba sana kufananish Samsung na huo uchafu wako wa TECNO, simu low end kwa ajili ya africa,
 
mkuu unaijua hii tecno???
njoo na evidence tafadhali...
76e86124a2ab481a9d723e9665f77d2bFS.jpg

Tecno-Phantom-5.jpg

mkuu tecno phantom kaa nayo mbali,...unajua ni phantom ngapi hiyo????
huwez linganisha na s4/5
never..............
Sony ndo balaaaa mkuu,..ni nxt level
samahani lkn ni mtazamo wangu...
usikariri mkuu simu nzr ni sams tu...nop ni tofauti
this is the world of competition..........
Kwakweli anaefananisha Samsung na Tecno akapimwe akili
 
Kufanya vibaya sokoni kwa simu za sony sio kipimo. Mfano saizi techo wanafanya vizuri sokoni je simu zao ni bora kuzizidi sony? Maana saizi kila familia 1 inamiliki techo
 
nani ameshawahi kuiona s6 au note 5 au s7 kwa macho? mbona design yake ipo tofauti kabisa na matoleo ya nyuma?

mwaka 2015 kulikuwa na flagship moja tu ya android ambayo ni s6 zilizobakia ziliflop sana. tusubiri review za s7 ila sitashangaa nayo ikiwa na memory zenye speed kushinda wapinzani, soc isiopungua speed baada ya matumizi makubwa na warranty nzuri zaidi

Simu moja nzuri..ila nadhani amekutana na G5 upinzani utazid kua mkubwa..lg amejaribu ku go beyond kidogo..especially kweny design. ..tusubir wakina Htc na wengine
 
Simu moja nzuri..ila nadhani amekutana na G5 upinzani utazid kua mkubwa..lg amejaribu ku go beyond kidogo..especially kweny design. ..tusubir wakina Htc na wengine
kwa benchmark za awali tayari snapdragon 820 itakuwa ndio best soc sokoni, hivyo kwa upande wa perfomance kutakuwa na tofauti ndogo sana watajitofautisha tu kwenye vitu kama camera, speed ya storage, display na design. kuhusu design ya lg g5 ile modular battery ni plus ila upande wa nyuma upo kawaida sana sio flagship level
 
kuhusu sony mimi mwenyewe nilikuwa hapo baada ya muda nikajaribu samsung lakini wapi sijaenjoy kabisa...nataka kurudi na sony jamaa ni next level
mkuu ukitumia sony hutotaka kutumia cm nje ya sony..
wako impresive sana jamaa,....wapo tofauti sana ,..very creativity
 
Back
Top Bottom