Recent content by streetwiser

  1. streetwiser

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Ubalozi unamsubiri
  2. streetwiser

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    Bingwa hesabu yako nimeipenda, assume wapinzani wote wamevote kwa Marando, sasa 2tafute posibility ya kupata 120 ndani ya ccm 1 Sitta 2 Mwakyembe 3
  3. streetwiser

    Hivi kipi kigumu, kuendesha gari au Bunge Tanzania?

    Ahahaa yote magumu, isipokuwa gari ni rahisi kulinganisha na ubunge, uspika ndiyo kichina zaidi. Rahisi zaidi ni kufuja na kuiba mali za walala hoi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:A S cry:
  4. streetwiser

    Zitto Kabwe kuwa kiongozi wa Upinzani Bungeni?

    Du mada imekaa kimtego mtego, naona mtu unataka kupelekwa force king, maana masaa 24 yesha pita, habari haijavunjwa, haya wacha 2malize machungu ya uchaguzi :sad:
  5. streetwiser

    Afumaniwa na dada yake akijivinjari na shemeji yake

    Du mzee wa mausweet isingelikuwa kubanwa mbavu tungepata jina na picha ya jamaa.
  6. streetwiser

    Formula 1® Grand Prix special thread

    Briatore: We want to stay with FIA Eurosport - Thu, 14 May 12:00:00 2009 Renault team boss Flavio Briatore has said that Formula One teams want to stay within the framework of the FIA despite several threats to pull out of next year's championship. Talk of a rival series is also...
  7. streetwiser

    Formula 1® Grand Prix special thread

    Renault join Ferrari in quit threat Eurosport - Wed, 13 May 17:44:00 2009 Renault have followed Ferrari in threatening to quit Formula One unless the FIA amend their proposed budget cap regulations for next year. The governing body has stated that those who adhere to a £40 million...
  8. streetwiser

    Fan commits suicide after Arsenal defeat

    Wednesday, May 6 05:19 pm ITN A Kenyan man hanged himself wearing his beloved Arsenal's shirt after their Champions League defeat to Manchester United. Suleiman Omondi, 29, was found hanged at his home in a middle-class Nairobi estate shortly after leaving distraught from the pub...
  9. streetwiser

    TICTS: The inside story

    source Mwananchi 4/30/2009 Habel Chidawali HATIMAYE serikali sasa imeeleza bayana kuwa kampuni ya Ticts inayoendesha kitengo cha kupakua na kupakia makontena kwenye Bandari ya Dar es salaam imeshindwa kazi na sasa inapitia upya mkataba ulioipa kampuni hiyo haki peke. Waziri Mkuu Mizengo...
  10. streetwiser

    Mkwawa High School mpo?

    Burudani kubwa ilikuwa Mkwa vs Haliendi (Highland) katika soccer.
  11. streetwiser

    Mzumbe dons in PhD scam

    Nakubaliana na wakuu wanao tetea kwa kusema jamaa degree zao za mwanzo ni za uhakika sababu zimetota UDSM au western Countries, sawa, lakini unapokuwa lecturer halafu hufahamu kuwa unasoma chuo/taasisi ambayo haukubaliki ni jambo gumu kidogo kuingia akilini. Pia hao jamaa watakuwa wametumia pesa...
  12. streetwiser

    Simu na Mahusiano

    Aunty Lao nikitazama msg yako naona mumeo hana tatizo, mfano mimi mwenyewe ninapokuwa nimechoka nipo nyumbania na mkewangu na mwanangu ukinipigia simu sina haja hata ya kutazama ni nani maana naweza kuona aibu nakupokea hiyo simu baada ya kuona mtu anatipigia niwa karibu sana, ila kama mke na...
  13. streetwiser

    Watoto wa Mjini Dar

    Walikuwa mabaharia wenyewe ukiwauliza wototo wa taifa kubwa ni nani? watuambia wototo wa Temeke, sasa sijui walifika vipi? nimesoma naona wengi ni story za kupewa hakuna mwenye fani! kwani ni ujanaja kuwajua wazee wa shamba? kama ndiyo kweli mbona hamuendi. Kumbuka banadari yenyewe ipo temeke.
  14. streetwiser

    Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia

    Mkuu Phillemon Mikael Musiba nae ni mtu wa kugandamizia sana soma vitabu vitatu James hadley chase kisha niambe, hivyo usimfananishe na Marahemu Mtobwa (RIP).
  15. streetwiser

    Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia

    RIP BEN MTOBWA. Mimi namkumbuka mamboz ya Joram Kiango, mpelelezi mahiri. Hivi huyu ndo alitunga pia kitabu cha Twenzetu Ulaya, Mkjj nikumbushe. Nadhani Twende zetu Ulaya kimetungwa na Freddy Macha. Mtobwa RIP
Back
Top Bottom