Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ben Mtobwa "tutarudi na Roho zetu" afariki dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Nov 10, 2008.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Mwandishi gwiji wa riwaya Ben Mtobwa amefariki dunia.Habari kwa mujibu wa blogu ya Mjengwa.Pumzika kwa amani Ben Mtobwa.
   
 2. M

  Mama JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Rest in peace Ben
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Upumzike wka amani mkongwe
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Nov 10, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Duh.. this is very sad..

  Nimesome hadithi zake nyingi sana na vitabu vyake na kwa hakika ni miongoni mwa watu ambao kupitia kazi zao walinishawishi sana kuanza kuandika hadithi.

  Nakumbuka:

  Malaika wa Shetani
  Tutarudi na Roho zetu
  Salam toka Kuzimu
  Dar-es-Salaam Usiku
  Najisikia Kuua Tena

  N.k kwa kweli nitamiss sana kazi zake. I need to get a collection of his books.

  RIP patner..!
   
 5. DDT

  DDT Member

  #5
  Nov 10, 2008
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 43
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aaaaaah what a loss
  RIP Ben
   
 6. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #6
  Nov 10, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  RIP BEN MTOBWA.
  Mimi namkumbuka mamboz ya Joram Kiango, mpelelezi mahiri. Hivi huyu ndo alitunga pia kitabu cha Twenzetu Ulaya, Mkjj nikumbushe.
   
 7. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #7
  Nov 11, 2008
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,856
  Likes Received: 2,432
  Trophy Points: 280
  R.I.P alikuwa akikimbizana na ELVIS MUSIBA kwa kutunga hadidhi za kusisimua za kipelelezi....nilizipenda sana hadidhi zao...na kila mara wakati nasoma nilisubiri vitabu vyao vipya.......huwezi kumfananisha hawa na watungaji wa sasa kina shigongo ..ambao wana copy and paste!!!....mnawakumbuka ma sterling wa mtobwa na musiba??
   
 8. Tonga

  Tonga Senior Member

  #8
  Nov 11, 2008
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani niliburudika sana na hadithi za mtunzi huyu mahiri wa Tanzania..hivi alikuwa anaendelea kuandika?Wanafamilia, ndugu, jamaa na marafiki poleni sana kwa msiba, Mungu ampumzishe kwa amani.
   
 9. Ng'wanza Madaso

  Ng'wanza Madaso JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2008
  Joined: Oct 21, 2008
  Messages: 2,278
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Rest in peace.
   
 10. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mwenyewezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi amini
   
 11. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2008
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Oh!nami nakumbuka utunzi wake wake wa riwaya ya "Nyuma ya mapazia" iliyozungumzia rushwa katika siasa za vyama vingi.

  Poleni wafiwa,mjane na watoto
  RIP Ben
   
 12. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  RIP Ben Mtobwa nimewahi kuburudika na hadithi zake....
   
 13. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #13
  Nov 11, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema peponi...
   
 14. RR

  RR JF-Expert Member

  #14
  Nov 11, 2008
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Kulikua/kuna gazeti lililoitwa/liitwalo HEKO....nadhani alihusika nalo ila sina hakika aina ya uhusika wake...alikua mmiliki? Bado lipo?
  RIP Ben....ulishika watu wengi na utunzi wako!
   
 15. M

  Morani75 JF-Expert Member

  #15
  Nov 11, 2008
  Joined: Mar 1, 2007
  Messages: 619
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  pumzika kwa amani Ben...... Poleni wafiwa!
   
 16. S

  Semjato JF-Expert Member

  #16
  Nov 11, 2008
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 225
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  dah..
  nakumbuka Joram Kiango na Nuru..kwa maoni yangu ndio alikuwa mwandishi bora zaidi wa riwaya za kipelelezi!he was excellent.
  na apumzike kwa amani..tutamkumbuka!
   
 17. Kuntakinte

  Kuntakinte JF-Expert Member

  #17
  Nov 11, 2008
  Joined: May 26, 2007
  Messages: 704
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Rest in Peace
   
 18. Kevo

  Kevo JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2008
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,332
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  RIP!
  Nimemsoma vizuri kwa Michuzi Blogspot!
   
 19. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2008
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Apumzike kwa amani, poleni wafiwa wote.

  Hivi vitabu vyake bado vinapatikana kwenye bookshops? Kwa kweli hata kama riwaya zake ulizisoma miaka kumi iliyopita ukisoma tena leo utazipenda kama vile hujawahi kuzisoma.
   
 20. streetwiser

  streetwiser Member

  #20
  Nov 11, 2008
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  RIP BEN MTOBWA.
  Mimi namkumbuka mamboz ya Joram Kiango, mpelelezi mahiri. Hivi huyu ndo alitunga pia kitabu cha Twenzetu Ulaya, Mkjj nikumbushe.[/QUOTE]

  Nadhani Twende zetu Ulaya kimetungwa na Freddy Macha. Mtobwa RIP
   
Loading...