Nyamayao
JF-Expert Member
- Jan 22, 2009
- 6,966
- 2,350
Kama vipi unaweza ku-divert.Ukiona vipi ni PM ili nikupatie Plan "B".
haaa jamani ku divert, kwangu me hapo naona nitakuwa nimemnyima pumzi kabisa na nitajipa pressure tu....
Kama vipi unaweza ku-divert.Ukiona vipi ni PM ili nikupatie Plan "B".
'Hun uko wapi?' Unajibu huku kiroho kikienda mbio 'aah...niko hapa Tunda Pub, tunapiga mbili tatu na washkaji wa job'...'Mbona siko mbali na hapo? nipe dakika tano tu nitakuwa hapo, niodee mishkaki kabisa'....Mama wee, picha lishasanuka!
LOL. Mtu kadakwa kiulainii.
Mkuu KKN,
Kicheche hawezi kusema alipo moja moja....kabla kujibu yuko wap angeanza na 'kwan we uko wap switi?'
...au katikati ya sentensi, simu 'inaisha' charge!
Za leo wa ndugu, naomba kuuliza je ni fanye nini na tabia ya mume wangu kuhusu simu(mobile phone) Kwa kweli ni jambo lililokuwa likinisumbua kwa mda mrefu sana. My hubby anatabia ya kutopokea simu sometimes, yn cmu yake inaweza kuuita kwa mda mrefu bila yeye kupokea. Then, hasemi ni nani anakaa kimya tuu! Ila kwa investigations zangu mara nyingi huwa ni rafiki zake wa kiume. Je nivema kuwa namuuliza kuwa ni nani au je ni vipi watu huu behave wanapoishi wawili katika maswala ya simu. Maana sipendi kukwazika na sipendi kumkwaza pia.
Inawezekana tatizo linaanzia hapo. experience huwa zinatutafuna some times.