Recent content by Strawberry

  1. Strawberry

    Dawa ya mafua sugu

    Pole sana iseee mie nimeumwa mafua sasa huu ni zaidi ya mwaka wa 20.Miaka yote hata sasa naandika hapa nimebanwa mafua ya ajabu na Chafya ndo usiseme nikiamka utajua tu nimeamka maana ni chafya na kubanwa mafua na makamasi mepesi. Nilienda Mhimbili kuwaona wataalamu wa pua na koo nikawana...
  2. Strawberry

    Baba na mama wana mgogoro mkubwa nisimame upande upi?

    Pole na sie ilishatutokea hiyo.tena tukamkuta mzee kalazwa kinondoni hsptl na mke wake ni katoto kadogo kanatuamkia sie na kazaa nako yaani ilikuwa aibu.ila Mama huruma ilimshika ya ajabu sana akamsamehe na akasema akitoka hsptl arudi nyumbani audumiwe.Ilikuwa siku ya jmosi tukashinda nae jpili...
  3. Strawberry

    AIDS DAY: umejifunza lipi? Langu ni hili

    Nimeiona miaka mingi sasa.
  4. Strawberry

    Historia ya ndoa yangu

    Nyani na wewe kumbe ni zimwi.haa sikujua hilo.
  5. Strawberry

    Uzuri wa kuoa single mothers na wadada over 35 years

    Menopause inategemea na mtu na mtu wengine wana pause ikifika 50 wengine adi 65.na kwa maisha ya sasa wengi wanachelewa kuolewa.hivyo basi haina shida kwa mtu wa kuanzia 30-45 wanazaa tena kwa njia ya kawaida na still bado wanalea watoto wao vyema.Inshu ya kusomesha wala sio shida.maisha ya sasa...
  6. Strawberry

    Kampala vs Open University

    Asante sana.napenda OUT ila pamekaa mbali sana na kwangu.nawaza usafiri huu wa daladala.ila KIU ni jirani na kwangu lakini shida ni kiwango chao cha elimu wanayotoa huwa inanipa shaka sana.
  7. Strawberry

    Kampala vs Open University

    Naombeni msaada nataka kwenda kuongeza elimu wapenda hivyo nataka kujua kuhusu vyuo hivyo KIU na OUT.maana nimeona KIU ada zao zipo juu tofauti na OUT. Ila nina mashaka na KIU kama elimu yao ni lege lege kiasi flani.embu wajuzi mnijuze jamani nisije kufanya maamuzi yatakayo nipa shida hapo mbele.
  8. Strawberry

    Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

    Yaani hii movie ikiisha kuna starring mmoja atakufa.Movie linaisha na starring wa kidosi chali.
  9. Strawberry

    Tatizo la Kujizima na kujiwasha kwa samsung galaxy pocket nifanyaje ?

    Hayo ni ma Virus umeingia site zenye ma virus.kama sio hivyo basi unatumia charge ambayo sio yake.mie ikinitokea huwa nai flash naanza upya.
  10. Strawberry

    Mapenzi kama movie ya TITANIC siyawezi

    Mwanamke kaaumbwa toka ubavuni mwa Mwanaume.Hivyo ni kazi yako kulinda ubavu wako kama wewe ni mwanaume wa kweli.ila kama ww ni Cameroon bhassiii utashindwa na kuacha ubavu wako ukiteketea.
  11. Strawberry

    Vipi Binadamu nao wangeumbiwa misimu ya joto kama wanyama wengine?

    Kweli mabinti wangebakwa sana msimu huo.
  12. Strawberry

    Kumbe ninaishi na mwizi

    Miezi Mitatu tu na ndo tayari hee hii ni shidaaa.nyie ndo mtatuletea na Ebola hapa nchini.
  13. Strawberry

    Kwenu wanawake: Kinachowapa raha ni ukubwa wa dushelele au ufundi wa mwenye dushe?

    Wanawake huwa wezi.mbele wapo nyumba wapo kama pu****bu za mbuzi.hawajitambui.
  14. Strawberry

    Msaada wa Solar System

    haaa jombaaa hiyo upo chini sana.
Back
Top Bottom