AIDS DAY: umejifunza lipi? Langu ni hili

King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,831
Likes
15,299
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,831 15,299 280
Mpwa hebu nikumbushe ndioo nani huyu
Easy-E alikuwa msanii mkubwa wa HipHop miaka ya 80s-90s alikikuwa kwenye lundi pamoja na kina dr dre na ice cube -N.W.A

Eric Lynn Wright (September 7, 1963 – March 26, 1995), better known by his stage name Eazy-E who is affectionately called "The Godfather Of Gangsta Rap" was an American rapper who performed solo and in the hip hop group N.W.A. Wright was born to Richard and Kathie Wright in Compton, California. After dropping out of high school in the tenth grade, he supported himself primarily by selling drugs before investing in Ruthless Records and becoming a rapper. When Ruthless artists Dr. Dre and Ice Cube wrote "Boyz-n-the-Hood", Dre, Cube, and Eazy formed N.W.A

On February 24, 1995, Eazy-E was admitted into Cedars Sinai Medical Center in Los Angeles with what he believed to be asthma. Instead he was diagnosed with AIDS. He announced his illness in a public statement on March 16. Eazy's sexual activity began at the age of twelve and resulted in not only a fatal disease, but seven children with six different women.He died due to "complications from AIDS" one month after his diagnosis, on March 26, 1995, at approximately 6:35 PM (Pacific time). He was 31 years old. During the week of March 20, having already made amends with Dr. Dre and Snoop Dogg, Eazy-E drafted his last message to fans. One week after the release of that message, Eazy succumbed to the disease.Eazy was buried at Rose Hills Memorial Park in Whittier, California.In November 1995, shortly after Eazy-E's death, Str8 off tha Streetz of Muthaphukkin Compton was released.B.G. Knocc Out later claimed in an interview that Eazy-E had been murdered by Jerry Heller or Suge Kinght.

Eazy-E - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,082
Likes
17,559
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,082 17,559 280
Thank you Mpwa nimeongeza kwenye idadi maan anilikua namfahamu Bongoley File Rutaaya wa Uganda, Huyu Dogo Janja na Mnigeria aleijulikan akwa jina l Anikulapo

Strawberry

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
274
Likes
5
Points
35
Strawberry

Strawberry

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
274 5 35
Kila ifikapo tarehe fulani fulani watu hukumbuka matukio fulani, leo ni siku ya Kupinga kuenea zaidi kwa UKIMWI je ndugu zangu tumejifunza nini? Binafsi mimi nimejifunza na kujikumbusha yafuatayo (japo nafanya hivyo kila siku)

Hatutaokolewa na Condom, iwe Dume au Jike; Rough Rider au Smooth Rider, Lady Pepeta au Lady Twanga

Nimepoteza marafiki zangu wapatao sita wengi wakiwa wamezikwa katika early twenty's, Pumzikeni Kwa amani, mmoja akiwa kidato cha pili tu!!!!

Kwamba, AIDS haichagui wala haibagui

Kwamba ni lazima kuwe na NIA ya dhati ya kubadilisha Tabia

Kwamba, ongezeko la watoto yatima linatisha as a result ya kupoteza Wazazi wao kwa AIDS

Kwamba wapo watu wanaoambukiza wengine kwa makusudi

Kwamba Nguvu kazi ya Taifa inapotea

Kwamba ugonjwa huu umegeuzwa biashara

Kwamba makaburi ya wapendwa waliolala bila hatia ni wengi kwa kulishwa dawa zisizo kidhi mahitaji
Kwamba hata condom nyingi tunazotumia zimeisha muda wake wa matumizi
Kwamba hakuna juhudi zozote za kuokoa Vijana walioko mashuleniKwamba, kwa sasa idadi ya Vijana au tuwaite watoto below 20 ambao ni victim ni wengi kuliko inavyoweza au ilivyowahi kudhaniwa.

Kwamba hakuna juhudi za dhati miongoni mwetu kukomesha hali hii na baya zaidi NGO nyingi kama si zote zipo kimaslahi zaidi.

Je wewe umejikumbusha na kuwambusha wengine kitu gani?
Yani ndugu yangu acha kabisa ukimwi upo na umeenda na ndugu zetu wengi sana.Na imeshakuwa biashara kwa nchi flani flani zinaingiza pato kupitia ugonjwa huu.

yani hata sitaki kuongea mengi juu ya Ukimwi mana Inaniumiza sana kichwa na nafsi yangu.
Ila ukweli unabaki pale pale ni kupambana kwa nia ya dhati.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,082
Likes
17,559
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,082 17,559 280
Yani ndugu yangu acha kabisa ukimwi upo na umeenda na ndugu zetu wengi sana.Na imeshakuwa biashara kwa nchi flani flani zinaingiza pato kupitia ugonjwa huu.

yani hata sitaki kuongea mengi juu ya Ukimwi mana Inaniumiza sana kichwa na nafsi yangu.
Ila ukweli unabaki pale pale ni kupambana kwa nia ya dhati.
basi tuwaombee tu wote waliotangulia, wapumzike kwa amani
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,082
Likes
17,559
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,082 17,559 280
mmh mbona hii sijawahi kuisikia hiii jamani??? Ni kweli?
kumbe hukujua..huwa hawatoi majibu halisi wanachotaka wao ni kupata data tu za kwenda kuombea misaada zaidi.
Unaweza ukawa positive na bado wanakwambia uko salama.wapumbaf sana.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,082
Likes
17,559
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,082 17,559 280
Haya haya tena njooni Huku tena mtoe uzoefu wenu WA mwaka mzima! Je umepima? CYBERTEQ kazi ni kwako! Ukimuona mrembo wangu tinna cute mlete huku nimpe majibu yake
 
Last edited by a moderator:
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Messages
4,534
Likes
38
Points
0
C

Cyan6

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2013
4,534 38 0
Niwaambie ki2.....kuna watu wanafurahi kuwaambukiza wengine ili wapate faraja kwamba wako wengi wenye virusi......bila kufikili kua yule uliye muambukiza anaweza kutembea na mwanao au nduguyo nae akapata virusi na yeye pia.
Na wapo wanaume wanao amini kujua kama yeye ana virusi au hana anatembea na msichana ili akimpa mimba atatambua kuwa anavyo au hana coz anaogopa kupima so mwanamke akimwambia ameenda clinic na ameambiwa anavirusi basi anaterekeza mimba na mtoto pamoja na mama yake anenda kwa mwingine....kuna fumbo kubwa sana hapa
ila kwa mala ya kwanza napenda kusema hivi kauli mbiu mpya leo toka jamii forums ...ikinge jamii na jamii itakukinga na virusi vya ukimwi.
cc: Kapuya
 
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Messages
18,160
Likes
1,613
Points
280
charminglady

charminglady

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2012
18,160 1,613 280
Dah.... Hii thread nzuri sana! Kesho ntaenda kupima aise.....
 
genltesoul

genltesoul

Member
Joined
Dec 27, 2012
Messages
30
Likes
1
Points
0
genltesoul

genltesoul

Member
Joined Dec 27, 2012
30 1 0
Asante ndg kwa kukumbusha mambo na observations zenye akili nligundua ni complicated issue hadi nikaanza kusoma vijarida khs hii ishu ni juzi kati baada ya ndugu yangu WA damu kutest positive yaani since then.....nauogopa ukimwi jmn tubadilike ktk hili kwa kweli
 
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
11,235
Likes
9,861
Points
280
Victoire

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
11,235 9,861 280
Ukimwi huu,ulinichukulia uncle wangu ndo kwanza katoka chuo kapata kazi SHIRECU,shirecu ilikuwa shirecu kweli.Mimi najiuliza tu hawa watoto waliozaliwa miaka ya tisini wanatumia ARV,huko mashuleni hawana viboy friend na magirl friend,na hivi waTanzania hatuna tabia ya kuwafundisha mateenagers kutumia Condom.UKIMWI sijui kama utaisha
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,082
Likes
17,559
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,082 17,559 280
Ukimwi huu,ulinichukulia uncle wangu ndo kwanza katoka chuo kapata kazi SHIRECU,shirecu ilikuwa shirecu kweli.Mimi najiuliza tu hawa watoto waliozaliwa miaka ya tisini wanatumia ARV,huko mashuleni hawana viboy friend na magirl friend,na hivi waTanzania hatuna tabia ya kuwafundisha mateenagers kutumia Condom.UKIMWI sijui kama utaisha
ni ngumu sana kujua! Vinatummia ARV vinaonekana vimenawiri weeee kumbe ni nanasi lililooza ndani cc Mentor
 
Last edited by a moderator:
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2008
Messages
20,055
Likes
11,129
Points
280
Mentor

Mentor

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2008
20,055 11,129 280
Umenikumbusha my new hadithi...

Babu Asprin twende tukapime, bado hatujachelewa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Strawberry

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Messages
274
Likes
5
Points
35
Strawberry

Strawberry

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2012
274 5 35
Nimeiona miaka mingi sasa.
 
S

special agent

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Messages
326
Likes
8
Points
0
S

special agent

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2012
326 8 0
Kwa kweli hili swala la ukimwi ni balaa yaani watu wamepuuzia kabisa swala hili unakuta mtu anampenzi .kazini,bar,shule aliyo soma au chuo,pia marafiki wa mke wake,wake wa jamaa zake ,majirani ,makahaba pamoja na wale tunaoita kamata nchinje kisha hatumii kondomu yaani ni shidaa.
 
Forum statistics

Threads 1,273,439
Members 490,382
Posts 30,481,584