Hot Gossip in town: Tetesi zinasema Meninah na Diamond waanza vikao vya harusi

NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,296
Points
2,000

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,296 2,000
Nakataa hizi habari kwamba Diamond anatafuta kiki... hata ukifika Mwananyamala ukauliza who's Meninah, watu kibao hawamjui... sasa utatafuta vipi kiki kupitia kwa mtu ambae hata huo ustaa wa kibongo bongo hana?? Huyo Wema mwenyewe kama si Diamond ingekuwa keshasahaulika... anayekataa ukweli huu atuambie Wema angekuwa kwenye chati kwa lipi? Ustaaa wa Wema mara zote unapitia kwa mabasha wake... kuanzia enzi za Kanumba hadi Mwinyi na sasa Diamond! Kote huko huwa anakumbana na scandal zinazomfanya Wema aendelee kuwa midomoni mwa watu! Ma-miss wote washapotea... Wema na kundi lake la 2006 bado wamo midomoni baada ya kuingia Bongo Movie na kuanza kutengeneza scandal... pamoja nae yupo Aunt Ezekiel na pacha wa Wolper (amenitoka jina lake, sijui kenda kukata gogo)! Hao wenzake mbona ni almost kimya tu? Kama si Diamond, Wema tungemtajataja kwa lipi hivi sasa?

Turudi kwa Penny... nani siku hizi anamtaja taja Penny? What about alipokuwa na Diamond? Turudi hata kwa huyo Meninnah... nani humu alikuwa anamtaja taja Meninnah kabla ya kuibuka habari za mauhusiano kati yake ni Diamond?

Mumpende au mumchukie, lakini kwa sasa Diamond ndo habari ya mjini kwahiyo ni kichekesho kusema eti Diamond anatafuta kiki kupitia Meninnah wakati huyo Meninah mwenyewe watu wameanza kumjadili alipohusishwa na Diamond! Hata humu jamvini ni kumi kwa mmoja anayemfahamu Meninah...

Anyway miezi sita sasa imepita tangu watu niwashauri humu jamvini kwamba, kwa sasa kumchukia Diamond ni kujitafutia stress bila sababu... hutaki unaacha!
 
NasDaz

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
11,296
Points
2,000

NasDaz

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
11,296 2,000
Nshasema huyo bila domo hana jipya domo ndio kamrudisha wa2 washamsahau,mamis 2006 wote hovyo kuanzia yeye jokate,aunt,uwoya full kujiuza tu
Umeoana enh... tena afadhali umenikumbusha, ni Irene Uwoya manake kwenye post yangu nililazimika kuandika pacha wa Wolper! Hata huyo JOkate, kipindi alipokuwa na Diamond, kila siku humu jamvini tulikuwa tunamjadili lakini siku hisi, jhiiiii....! Kuna Hamisa... wasio wa wapenzi wa masuala ya mitindo walikuwa hawamfahamu kabisa Hamisa lakini baada ya kuhusishwa na Diamond, ndipo wengi wakamfahamu humu jamvini!! Kuna mwingine... hapa namzungumzia Naima Shah, yule mtoto wa Kiburushi kwenye nyimbo ya Mbagala... ni wachache sana tuliokuwa tunamfahamu Naima kabla ya ile nyimbo lakini leo hii majority wanamfahamu Naima!!!

Watu wanasukumwa na chuki binafsi lakini ukweli ni kwamba Diamond ndie anatoa kiki kwa watu kuliko yeye kupata kiki kupitia kwao!
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Messages
9,171
Points
2,000

tweenty4seven

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2013
9,171 2,000

Huyu wema ana damu y bundi na nao wacheza vigodoro wke wote hawana akili,mara domo anamtumia wema hivi wema anamsaidia domo kuandika nyimbo plus hela y kurekodi,
Domo amestuka ndio mana hata nyumba hamalizi mana wacheza vigodoro wote watahamia hpo,wema c yf material huyu ana nyota ya kutoa mzigo 2
 
Dinazarde

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
34,385
Points
2,000

Dinazarde

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2014
34,385 2,000
Huyu wema ana damu y bundi na nao wacheza vigodoro wke wote hawana akili,mara domo anamtumia wema hivi wema anamsaidia domo kuandika nyimbo plus hela y kurekodi,
Domo amestuka ndio mana hata nyumba hamalizi mana wacheza vigodoro wote watahamia hpo,wema c yf material huyu ana nyota ya kutoa mzigo 2
Eti ye akiwa na pesa marafiki kibaoo khaaa/? Daimon mjanjaa na hiyo harusi ifanyike haraka basiii
 
Victoire

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2008
Messages
14,457
Points
2,000

Victoire

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2008
14,457 2,000
Kusema ukweli Penny na Meninah na Hamisa Mobeto nimewafahamu baada ya kuhusishwa na Diamond.Diamond na Jumbe niliwafahamu baada ya kuhusishwa na Wema.Wema kaangandika laiti angejua,sasa sijui asingerudiana na Diamond
 
Forum statistics

Threads 1,343,415
Members 515,055
Posts 32,784,013
Top