Msaada wa Solar System

Msaada wa Solar System

hiyo hifadhi mda si mrefu kutakuwa na mgao wa umeme ,bado itaendelea kukusaidia ,
 
Mie hayo ma DC na AC wala siyajui nachokifahamu inaingiza watts 30.ni maalum kwa solar tu.
 
Chukua 350 Vyote, Ukiwa Tiyar Ni Pm Faster Ule Ela Ndugu Yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom