miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
aiseeee.....!!!
Hilo ziwa la moto lipo wapi
Ukitoka baharini unaingia ziwa la moto
aiseeee.....!!!
Hilo ziwa la moto lipo wapi
we huwezi ila wenzio wamethubutu na wameweza....
wewe MISS CHAGA inaonekana upo after dollar$ & pound£ sn yan ww unawaza ATM password...OMG
nataka tufe wote coz 2napendana
Ukitoka baharini unaingia ziwa la moto
Twende kwanza nikapajue unaonekana ni mzowefu huko na kuna baadhi wanakujua
na wanasonga mbele...lol
nakukukumbatia 2naenda wote
it's like: you've never love someone in all of your entire life my friend.I'm not a feminist in ideas, but i tell you what: Most women suffer a lot more than men.Kwa wale ambao wameshaona movie ile ya titanic kuna sehemu katika movie hiyo ambayo sikubaliani nayo kabisa eti unakufa kwa sababu ya mwanamkeKwangu hamna kitu kama hicho yaani Jack anamuachia Rose boya halafu anakufa na baridi katikati ya bahari eti kwa sababu ni mrembo sasa anaona afe yeye halafu rose abaki mzima kwangu haiwezekani au mapenzi ya ROMEO NA JULIET kwangu hayapo.Kwenye shida kila mtu ajijue kivyake halafu nashangaa wanaume ndio huwa wanaongoza wanajitolea mpaka kifo kwa ajili ya mademu zao{mfano: Adamu kula tunda kwa sababu Eva amelila huku anajua kuwa anamkosea MUNGU...}.Lakini wanawake sijawahi kuona eti anajitolea hata afe kwa sababu amempenda mwanaume, wanaume wenye tabia za namna hiyo muache kwenye suala la uhai kila mtu afe kivakye. Imenisikitisha sanaKutoka kwa mwanaharakati wa mapenzi AMOKILler
Aisee hapana utakuwa unipendi
Hajapenda huyu!!!!
Mbona mimi nakupenda, wewe mchagga