Recent content by Stone Town

  1. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wafanyabiashara wailaumu Serikali kuvuruga shughuli zao kila Uchaguzi unapokaribia

    Wakizungumza leo asubuhi, Wafanyabiashara wachache waliokutwa katika maeneo yao ya biashara, bila kufungua maduka ama vitalu (vibanza) vyao ndani ya soko kuu la Zanzibar, Marikiti, wafanyabiashara hao walisema kuwepo kwa idadi kubwa ya wanajeshi na askari polisi, kunafanya washindwe kupata pesa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Vikosi vya Usalama vyapiga mabomu ya machozi, wananchi wakimbia na kuacha mitaa ikiwa mitupu. Huduma za kijamii zasimama

    Askari zaidi ya 20, wakiwa ndani ya magari yao asubuhi ya leo wanafyatua mabomu ya machozi kwa kila kundi la watu wanalokutana nalo. Katika eneo la Darajani, askari hao bila kuwepo kwa viashiria vya uvunnjifu wa amani, wamefyatua mabomu ya machozi kwa kundi dogo la watu waliokuwa pembezoni mwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa hizi toka Visiwani Zanzibar zina ukweli?

    https://imevuja.xyz/just-in-upigaji-kura-waanza-usiku-huu-zanzibar/ Na pia https://imevuja.xyz/maalim-seif-kuwekwa-chini-ya-uangalizi-maalum/ Kama ni za kweli, basi Zanzibar pameshakuwa pagumu sasa UPDATE...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    kielezwe basi kilichozungumzwa japo kwa ufupi sie tuliopo mbali na nyumbani hatuwezi kujua kitu gani kimezungumzwa sio kila mtu anasema upinzani umeongea mambo ya msingi tu ni mambo gani basi
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Hamad Maulid wa ITV Amefariki Dunia!.

    Ni kweli sote ni wa Muumba na sote marejeo yetu ni kwake, Maulid Hamad ametutoka na ameshakwenda mbele ya haki kilichobaki ni kumuombea dua kwani alikuwa amelazwa hospitali tokea mwezi uliopita akisumbuliwa na kifua kikuu lakini tutakumbuka kwamba Maulid alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wasomi au wenye kipato kizuri hawadumu kwenye mahusiano!

    Kwanza naungana na wenzangu wengi kwamba sio wanawake wote ni wauaji kwa sababu hakuna takwimu hizo hata katika hali ya kawaida tu huwezi kuchukua makosa ya watu 10 ukasema ni watu 1,000 wametenda hivyo, lakini jengine sio rahisi makosa kama hayo ya mwanamke akawa peke yake lazima kuna mwanamme...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

    kwa utaratibu tulionao haiwezi kupita maana CCM ni wengi na upitaji unategemea kukubali na kukataa kwa hivyo wengi ndio wanashinda kikawaida unless kuwe na otherwise ambayo sio rahisi kuwepo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Radio production course

    Asalamu Alaykum mimi nataka hayo mafunzo lakini naona hakuna details zinazoeleza suala hilo naomba kufahamu kwa sababu nahitaji kujua yatachukua muda gani kwa sasa kuanzia mwezi wa agosti sitaweza kujiunga ikiwa kabla au baada basi nipo tayari ila mimi nipo zanzibar, hata hivyo natanguliza...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya: Watoa maoni zanzibar wapiga mswada stop kubwa!!!!!!!!!!!!!

    wazanzibari wamesema no maana haujazingatia makubaliano ya muungano lakini kwa habari zaidi kwa waliochangia na maneno wlaiosema fungua hapa www.zanzibaryetu.wordpress.com
  10. S

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania inaelekea wapi????

    Babu wa Loliondo ameoteshwa na Mungu kutoa tiba kama vile maaskofu walivyosema wakati wa uchaguzi kuwa Kikwete ndio chaguo la Mungu na watu wakaamini na kumchagua lakini baadae mambo yakabadilika zile changwe za kuwa chaguo la Mungu zikageuka chaguo la Shetani sasa kwa babu sijui mambo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wasanii 13 wa taarab wafa ajalini

    Sote ni wa Mwenyeenzi Mungu na marejeo yetu sote ni kwake kwa hivyo hatuna budi kuwaombea kheri na wapumzike salama huko waendako na wale wlaiobahatika kupona basi tunawapo mkono wa pole na wapone haraka
  12. S

    JamiiForums Tanzania CCM Zanzibar sasa washiriki maandamano ya CUF

    Asalamau alaykum. Habari za siku nyingi naona maneno mengi yanasemwa kuhusiana na suala la karume kuongezewa muda kila mmoja anasema vyake mimi nadhani watu kama wamemsikia katika hutuba yake ambayo imerushwa live na baadhi ya vyombo vya habari vya televisheni na radio na mimi binafsi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Pemba island hotel

    ndio mwenye hoteli kajivua na jukumu
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Sophia Simba watua Z'bar

    Ndio watu wa zanzibar
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa Professor!

    Hii story nimeipenda sana ila nadhani kuna kitu kimesahaulika kidogo katika mapenzi hakuna mmoja kuwa juu na mwengine kuwa chini yaani hata kama mtu mbumbumbu kiasi gani wewe huwezi kumuona hivyo kwa kuwa wakati mwengine mtu aliyekuwa hajasoma anaweza akakupa muongozo wewe mwenye elimu...
Back
Top Bottom