Tundu Lissu: Mpambanaji aliyeuanza uanaharakati utotoni

Wanachobishania ni kuwa tindu anataka wakuu wa mikoa ,wikaya na makatibu tawala wasiwe wanasimamia nidhamu ya mahakama
 
kweli ni wazi ccm wanashindwa kutofautisha maslahi ya chama na taifa kwa ujumla.

Hivi kweli hata mama mchungaji Lwakatale unashabikia maslahi ya mafisadi kwa Mungu utajibu nini?

Waziri mkuu kakubaliana na hoja ya mh. Tundu Lisu sasa hata spika anumwuliza mara mbili mbili ili akatae hapa inaashiria nini?

Anne Makinda hana maana kwa maslahi ya taifa
 
kwa utaratibu tulionao haiwezi kupita maana CCM ni wengi na upitaji unategemea kukubali na kukataa kwa hivyo wengi ndio wanashinda kikawaida unless kuwe na otherwise ambayo sio rahisi kuwepo
 
inakera imeonyesha jinsi gani wabunge wanateteya masilai ya chama furani na siwatanzania kupigakura wananza kuitana mubungehakuwepo hajuwi kilichojadiliwa anasema ndiyo
 
Wakati vijana machahari wa CDM,Tundu Lissu na Zitto Kabwe wakitoa mapendekezo juu ya muswada wa sheria ya mahakama wabunge wa CCM wakiongozwa na mwanasheria mkuu Frederick Werema wameendelea kushabikia mapungufu yaliyopo kwenye muswada kwa ushabiki wa kichama zaidi kuliko uzito wa vipengele vilivyoborongwa...kama kawaida mama makinda nae jazba mbele na kulazimisha veto kwa ccm mps

Source: Live from mjengoni/star Tv
 
Ila c unaona hafundishiki? Natamani kulia kadri mda unavyozidi kwenda! Yan hapa kila k2 ni SIYOOOOOOOOO!!!!
 
Anazidi kuchimba kaburi la chama chake na wabunge wake. Tunaofuatilia tunaona wanayotenda. walivyokuwa vichwa mdundo wanawaza kukinga CDM baada ya kuangalia mambo yenye maslahi ya Taifa. pumbafu
 
Ila c unaona hafundishiki? Natamani kulia kadri mda unavyozidi kwenda! Yan hapa kila k2 ni SIYOOOOOOOOO!!!!
yaani haoo jamaa kama mabwege vile...wanpoteza fedha za umma tu kwa nonsense zao...tanzania bado tuna safari ndefu sweetlady!
 
Anazidi kuchimba kaburi la chama chake na wabunge wake. Tunaofuatilia tunaona wanayotenda. walivyokuwa vichwa mdundo wanawaza kukinga CDM baada ya kuangalia mambo yenye maslahi ya Taifa. pumbafu
yaani hata bunge letu la JF lingecomeup na mapendekezo yenye maslahi kwa umma
 
Na hatutakuja kuona tena maishani,maana kipindi hiki ni cha mwisho kwao. Hawawezi kuwa wapumbavu namna hii watakapokua chama cha upinzani. Ni upumbavu uliochanganyika na kiburi na ulevi wa madaraka.
yaani wabunge wa CCM ni mabwege sijawahi kuona toka nizaliwe
 
Dawa mi naona ni kuingia msituni na kuja wakuwang'oa Mafisadi Kikwete na Mama Kiroboto wa Bunge la vilaza:alien:
 
Jamani tupeni basi hiyo hoja iliyojadiliwa, wengine hatuna access kabisa na hiyo Star tv. Werema kasemaje, Lissu kasemaje nk.
 
Back
Top Bottom