Hivi Tanzania inaelekea wapi???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Tanzania inaelekea wapi????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamanzi, Apr 3, 2011.

 1. k

  kamanzi Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  WAkati maisha yanazidi kuwa mabovu au kama wasemavyo wenye hekima, kila kukicha heri jana kuliko leo, Watanzania wanazidi kunitatiza.

  Ukiangalia vyama, badala ya kuangalia uwezekano wa kuweka sera zinazoinua maisha ya mtanzania, vyote vimejiunga na CCM pamoja na Sheikh mkuu kuiponda CHADEMA.

  Wakati huo huo wabunge na mawaziri wanashindana na wananchi waliokata tamaa kukikimbilia kikombe cha Babu loliondo.

  Huku nyuma Ikulu, JK bado anapokea ushauri wake mkuu toka kwa Sheikh Yahaya.

  Nazidi kujiuliza, hivi hii nchi inaelekea wapi? Maana Vipofu hawawezi kuongoza vipfu wenzao, wote wataishia shimoni!!
   
 2. R

  Rutakyamilwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 3, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 1,869
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Inaelekea kuzimu. angalia muswada wa sheria ya katika, kweli a reasonable man can dare write such a thing!!!!!!!!!!!!!!!!!Unbelievable!!!!!!!!! KWELI- Same itamsamehe aliye wake na Makanya itamkanya aliye wake
   
 3. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #3
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
   
 4. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #4
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mtu alisema may 21, 2011 ni mwisho wa dunia.
   
 5. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #5
  Apr 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  hehe nimeipenda hiyo!!
   
 6. S

  Stone Town Senior Member

  #6
  Apr 3, 2011
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Babu wa Loliondo ameoteshwa na Mungu kutoa tiba kama vile maaskofu walivyosema wakati wa uchaguzi kuwa Kikwete ndio chaguo la Mungu na watu wakaamini na kumchagua lakini baadae mambo yakabadilika zile changwe za kuwa chaguo la Mungu zikageuka chaguo la Shetani sasa kwa babu sijui mambo yataendeleaje tunasubiri tuone
   
Loading...