Katiba mpya: Watoa maoni zanzibar wapiga mswada stop kubwa!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba mpya: Watoa maoni zanzibar wapiga mswada stop kubwa!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by Mtu wa Mungu, Apr 8, 2011.

 1. M

  Mtu wa Mungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sikuamini masikio yangu niliposikiliza katika runinga ya TVZ mmoja wa wachangiaji akitoa maneno mazito sana kwa jazba akiuita mswada huo kuwa ni batili na kutoa tahadhari kwa wabunge wa Zbr katika bunge la muungano kwamba wakiupitisha mswada huo wasirudi ZBR!!!!!!!!!!!!!!??????????? Hapo patamu!!!??????????? Waliomfuta kadhalika kwa jazba walikuwa na msimamo ule ule kwamba ni batili na haustahili kuendelea kujadiliwa!!!! Safi sana!!!!!!!!
  Mradi wa Loliondo umefulia kwa Kikwete na serikali yake ambao walikusudia kuwazezetesha waTz ili mswada huu upite kirahisi ili sisiemu iendelee kuwa "kidumu ccm"; POLE !!!!!!!!
  Sisi tunasubiri kombani apitishe kwa rushwa nzito na vitisho kwa wabunge wa sisiemu ili tuingie mitaani wote kwa pamoja nchi nzima tuone hao polisi wao kama watafanya kama Arusha!!??? THUBUTU!!!!!!!!!!!!! Idumu Pipoooos Pawaaaaaaaaa-kiboko cha sisiemu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nashukuru kama huu moto mkubwa wa mabadiliko ya kweli (kuandikwa kwa katiba mpya) kutakua kumeshika hadi kwa walalahoi wenzetu kule visiwani kasoro tu Mhe Hamad Rashid juu ya hili. Pamoja tutavuna chema katika hii safari ndefu; Watanzania tukaze mwendo zaidi na tuzike tofauti zetu za kisiasa na nyinginezo ili safari iwe salama zaidi!!!!!!!!!!!!
   
 3. opwa

  opwa Member

  #3
  Apr 8, 2011
  Joined: Jun 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa kama wazanziberi wenyewe wameukataa tena kwa kuwaambia wabunge wao wakiupitisha wasirudi zenji, bara tunashina nini. afu ccm wanadhani kuitumia dola kwa kuwasuppress wanaharakati ndo kuupa umma mtazamo wa ndio wangejua wanachokijenga ni cha misri na tunisia wangeacha maana hali itakuwa tete zaidi. katiba sio mali ya mtu wa kikundi cha watu flani eti kisa wana nguvu kiserikali. nawatssdhalisha hao polisi na wanajeshi wanaowategemea ni kaka,dada,masela,ndugu,jirani,wazazi,wahanga wenzetu hivyo wasije shangaa kuwaona wapo upande wa mama na baba zao
   
 4. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  HAKI YA WANANCHI KUSIMAMIA MCHAKATO MZIMA WA KUUNDA KATIBA MPYA NDANI YA JAMHURI YA TANZANIA BARA NA VISIWANI NI JUKUMU LETU VIJANA KUULINDA BILA AJIZI KWA MUSTAKABALI WA USTAWI MZURI WA MAISHA YETU KITAIFA BAADAYE

  Baba, hewala!!!!!!!!!!!!!!

  Hapo kwenye wino mwekundu; sie vijana kote Bara na Visiwani (bila kujali chama chochote cha siasa tunakotoka na dini tunayoamini) tayari tumejiandaa kwa matokeo aina yoyote ile toka kule bungeni na wala chama chochote cha siasa nchini kisingiziwe kitu kwani nini sisi vijana wenyewe tu peke yetu tunaojua shida tunazokomaa nazo huku kitaa na kwamba Muswada haramu ukipitishwa nchini basi sie tutapoteza kiasi gani.

  Lakini itokee tu bahati mbaya kwamba zoezi hili si kama tunavyotaka wananchi basi tunawaomba viongozi wetu wote wa upinzani wajiunge tu na sisi kama marafiki wa demokrasia na kama Mtanzania yeyote wa kawaida nchini kwenye maandamano yasiyokua na kikomo na wala wasije kama viongozi pale.

  Janja zote za serikali kuzika haki zetu za msingi kikatiba kuitana, kutafakari, kupanga, kusimamia zoezi zima na hatimaye kujiundia katiba mpya nchini kamwe hazitovumilika hata kidogo!!!!!!!!!!!

  Uzalendo mbeeele kama tai lakini katika HAKI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. B

  BILLY2TRY Member

  #5
  Apr 8, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 53
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kazi kweli!
   
 6. S

  Stone Town Senior Member

  #6
  Apr 8, 2011
  Joined: May 28, 2007
  Messages: 108
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wazanzibari wamesema no maana haujazingatia makubaliano ya muungano lakini kwa habari zaidi kwa waliochangia na maneno wlaiosema fungua hapa www.zanzibaryetu.wordpress.com
   
 7. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #7
  Apr 23, 2014
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 9,421
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Naomba wana JF mnijuze kuhusu hii kitu,

  Hivi ile siku mzee Julius alipokuwa anachanganya udongo unaosemekana umetolewa Unguja ukaunganishwa na wa Tanganyika, je huo mchanga umehifadhiwa wapi?

  2, Mbona mzee Karume hakuonekana katika shughuli hiyo maalum na kushika mchanga wake wa Unguja ina maana hakuwepo siku hiyoo?

  3. Vipi mchanga wa Pemba nao ulikuwepo?
   
 8. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #8
  Apr 23, 2014
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 9,421
  Likes Received: 2,976
  Trophy Points: 280
  Naomba wana JF mnijuze kuhusu hii kitu,

  Hivi ile siku mzee Julius alipokuwa anachanganya udongo unaosemekana umetolewa Unguja ukaunganishwa na wa Tanganyika, je huo mchanga umehifadhiwa wapi?

  2, Mbona mzee Karume hakuonekana katika shughuli hiyo maalum na kushika mchanga wake wa Unguja ina maana hakuwepo siku hiyoo?

  3. Vipi mchanga wa Pemba nao ulikuwepo?
   
Loading...