Jatropha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2009
- 1,151
- 200
Mo-TOWN;1767325[COLOR="red" said:]Tumia akili zako na za kuambiwa! Toka lini mtu akapata popularity kwa kubomoa nyumba?[/COLOR] Equally mabango na magari yanaweza kusababisha ajali kwa hiyo huna point ya maana zaidi ya chuki binafsi. So what were you trying to say if I may ask? Kwa sababu ya ushabiki (au sijui niseme uwezo wako ulipofikia wa kuchambua mambo) umeshindwa kujua anayofanya Magufuli ni kwa mujibu wa sheria vile vile. Pole sana sidhani kama criticism zako ni constructive!
]Tumia akili zako na za kuambiwa! Toka lini mtu akapata popularity kwa kubomoa nyumba?Mwalimu wangu aliwahi kuniambia kuwa ukitaka kuwaficha kitu Watanzania walio wengi kiweke katika maandishi. Ndio maan kwa kuwa sheria zipo katika maandishi wengi wetu hatutaki kuchimaba kuverify madai ya Mhe John Magufuli kuhusu upana wa hifadhi ya barabara, badala yake tunamshabikia tuu hata katika mambo ya hatari kama kukosesha watu makazi.
Equally mabango na magari yanaweza kusababisha ajali kwa hiyo huna point ya maana zaidi ya chuki binafsi. Ukweli utabaki pale pale magari yanayotelekezwa barabarani ni hatari zaidi kuliko mabango yaliyoko katika hifadhi za barabara katika kusababisha ajali mbaya sana za barabarani, hivyo hapakuwa na haja yoyote kusababisha mtafaruku aliosababisha Magufuli kuhusu mabango ya matangazo na kuacha vyanzo halisi vinavyowauwa watanzania wenzetu kama ilivyotokea kwa wasanii hawa. Hapa lazima tukubali kuwa Magufuli alikuwa anajitafutia umaarufu wa kisiasa tuu!!!!
So what were you trying to say if I may ask?What Iam saying is that Sheria sio kama "Menu" katika migahawa ambapo malaji huchagua chakula akipendacho na kuacha kile asichopenda. Pamoja na kujaribu kunipinga haujaweka quote yoyote kuverify madai yako. Mimi nimeweka kifungu cha sherei ya barabara aliyoapa kuilinda Mhe John Magufuli kinachohusu magari yanayotelekezwa barabarani. Mbona hatuaoni akichukua hatua zozote kuondoa tatioz hili au kwa sababu sio priority ya vyombo vya habari, hivyo hatapata sifa?
umeshindwa kujua anayofanya Magufuli ni kwa mujibu wa sheria vile vileNatambua sana ndio maana nasisitiza sherias sio menu katika migahawa, zipo ambazo zinztoa haki kwa sekta yake na sheria zingine zinztoa haki kwa wananchi, hivyo lazima kuzingatia zote kwa wakati mmoja.