Mtangazaji Maulid Hamad Maulid wa ITV Amefariki Dunia!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,
Nimeipata taarifa hii toka Zanzibar.

"Aman kwako! Maulid Hamad Maulid, ripota wa itv zanzibar, ametangulia mbele ya haki,
innah lillah wainna illahi rajiun!".

Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa moyo. Mazishi/Maziko ni kesho saa 4:00 asubuhi huko Zanzibar.

RIP Maulid Hamad Maulid.

Pasco.
 
Asante kwa taarifa.
Nilipoletewa nikadhani ni breaking news.
Mode please iunganishe.
 
Wanabodi,
Nimeipata taarifa hii toka Zanzibar.

"Aman kwako! Maulid Hamad Maulid, ripota wa itv zanzibar, ametangulia mbele ya haki,
innah lillah wainna illahi rajiun!".

Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa moyo. Mazishi/Maziko ni kesho saa 4:00 asubuhi huko Zanzibar.

RIP Maulid Hamad Maulid.

Pasco.

rip mzee wa wak0mboz wa ng'ambo
 
Ni kweli sote ni wa Muumba na sote marejeo yetu ni kwake, Maulid Hamad ametutoka na ameshakwenda mbele ya haki kilichobaki ni kumuombea dua kwani alikuwa amelazwa hospitali tokea mwezi uliopita akisumbuliwa na kifua kikuu lakini tutakumbuka kwamba Maulid alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya moyo kwa muda mrefu sana na ameshawahi kupelekwa India kwa ajili ya matibabu na tokea kufanyiwa upasuaji nchini India amekuwa afya yake huwa nzuri na wakati mwengine huzidiwa kwa zaidi ya miaka mitano sasa alikuwa akisumbuliwa kiafya lakini alikuwa ni mpambanaji wa kweli katika kazi hakuwa anataka mchezo kila siku akijituma licha ya kuwa tukimshauri sana apumzike lakini anapumzika pale anapoumwa tu na anapopata nafuu huendelea na kazi zake kama kawaida. Mola aiweke roho ya marehemu peponi amin
stone towner
 
Poleni wafiwa na wapambanaji wote. M/mungu atupe uvumilivu katika kipindi hiki cha msiba.
wanabodi,
nimeipata taarifa hii toka zanzibar.

"aman kwako! Maulid hamad maulid, ripota wa itv zanzibar, ametangulia mbele ya haki,
innah lillah wainna illahi rajiun!".

Chanzo cha kifo ni ugonjwa wa moyo. Mazishi/maziko ni kesho saa 4:00 asubuhi huko zanzibar.

Rip maulid hamad maulid.

Pasco.
 
Back
Top Bottom