Recent content by snex

  1. snex

    JamiiForums Tanzania Bongo Movie mmefikia wapi na Maandamano?

    Nliona bongo movie flani ivi inaitwa chaupele, kama mtoto wa mfalme anakaa style hiyo, bas tena. Itungwe sheria ya kunilazimisha kutoa hela mfukoni ninunue movie.
  2. snex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World bank ranks: Kenya second on logistics

    When will this rivalry come to an end?, I mean Kenyans and Tanzanians on this forum? Are we not East Africans? Are we not one? Tukumbuke busara za mwalimu Nyerere.
  3. snex

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Magari aina ya BABY WALKER nchini linaashiria nini?

    Ni fashion tu mkuu
  4. snex

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    Zakayo kwenye biblia alikuwa mtoza ushuru mkatili sana licha ya ufupi wake. Soma kilichomtendekea
  5. snex

    JamiiForums Tanzania Mnada: Njia mpya ya Utapeli, tujiepushe!

    Risiti kwanza Acer baadae. Karibu mjini
  6. snex

    JamiiForums Tanzania Hatimaye mabasi yote ya Kisbo yafungiwa rasmi

    Mabasi ya New force ndio yenye mwendo kasi Zaidi ila bas tu mmiliki sio mtanzania.
  7. snex

    JamiiForums Tanzania REST

    Najua maana mbili Kupumzika na zilizobaki /kusalia Kwa mfano I want to rest - Nataka Kupumzika The rest of you - Nyie mliobaki
  8. snex

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya hoja leo ITV: Mchangiaji na wachaga

    Je angesema mafisadi kutoka Dar tungemwelewaje?
  9. snex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Badili personality yako, kuwa mchoyo malengo yako yatimie.
  10. snex

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye maswali kuhusu wanyamapori na hifadhi zetu za tanzania uliza hapa utajibiwa

    Nchi ina simba na tembo wangapi?
  11. snex

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya Tanzania vyafanya vibaya kwenye Takwimu za kimataifa

    Ni kweli ila sio vizuri kudhalilisha nchi staili hii. Some of this statistics are not realistic. They lack credibility. Our level of education has really improved compared to yesteryears. Hamna nchi kama Tanzania Africa mashariki.
  12. snex

    JamiiForums Tanzania Naomba kurogwa

    Africa nzima inaiheshimu Tanzania kwa uchawi we mzalendo bado unabisha? Aisee..
  13. snex

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa sita sasa sijala vitumbua nilijiapiza sitokula vitumbua tena kwa kile nilichokiona

    Mbona hata gongo huchujwa kwa kutumia chupi ya mwanamke, ila wenzetu wanaisifia balaa.
  14. snex

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Ajali yaua Padre na Waumini wake huko Masumbwe, Kahama jioni hii

    Ajali ina kinga wakati samtymzi
  15. snex

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

    Kenyans are very busy people, they don't have time for love partners . They want business partners.
Back
Top Bottom