mie waliwahi mtapeli mdada wa kazi aliyetumwa sokoni, nikaenda kijiweni nikachukua mateja tukawakuta wakatembezewa kichapo hadi wakarudisha pesa na fidia juu tangu siku hiyo wakahama mtaani kwetu.Walinitapeli nikawatafuta na kuwakuta sehemu nyingine tukagawana nusu hasara.
mkuu mnada ni wa U. S embassy tu hii mingine ni ulaghaiPole sana, nilishawahi tapeliwa pesa kibao mwaka 2004, Kwa wale jamaa wa Yono. Minadani si mahali salama.
Unataka kusema,wale hawashtakiwi ukiwafkisha kwenye vyombo vya sheria.
Njoo PM tuongee biasharaMiiii mwenyewe natafuta Acer kwa bei hiyo

Kweli mkuu!hayo mambo yapo.Wengine huwauzia watu vitenge vilivyochanika au vipande vipande wakidangany ni vipyAMmmh... laki moja na nusu pc ya acer. Kwl rahisi ni gharama.
Aksante,!Ila kutapeliwa hata Wa mjini wanapeliwa tyu,pale tapeli akiuotea udhaifu wakohyo 150,000 ungekomaa kupiga kazi ukajazia hata 350,000,ifike laki 5 ungepata mbona!..pole mkuu ndo kukua huko! karibu mujini
Aksante mkuuPole kwa kutapeliwa
Pole sana mkuu!Kumbe watapeliwa tupo wengiMimi nilinunua Flush drive ya HP 64 GB kwa sh elfu 10 tu mpya, nikaijaribu pale pale ikafanya kazi, nilivyoenda kuijaribu kwenye pc yangu ya Toshiba haiingii kwenye port hadi uilazimishe, ndo mwanzo wa kuharibu port za my pc.
kwa hiyo were unasapoti wizi huu uendelee?Ukinunua kitu mnadani huwezi kuwashitaki mahali popote pale maana condition ya item haikuwa established wakati unanunua na wanaweza kusema kwamba kitu kiliharibikia kwako.
Kwanza unaanzaje kununua computer mnadani? Hii si ni sawa na kutaka kununua mbuzi ndani ya gunia?
Risiti utapewa but usipoichungza huwezi kujua!inakuwa haina anuani wala contacts za muuzajiRisiti kwanza Acer baadae. Karibu mjini
Laki si pesa mkuu punguza maneno sikiliza Muziki!Habarini za muda huu ndugu zangu wanajamvi wa JF.
Ninapenda kuwapongeza wote mliofanikiwa kupewa pumzi na utambuzi kifikra mpaka leo,Ashukuriwe MwenyeEnzi Mungu
Napenda kuwa tahadharisha kuwa sasa kuna utapeli kupitia minada ya vitu mbalimbali ambayo mara nyingi hufanyika maeneo ya masoko.
Wezi hao huuza vitu mbalimbali km Electronic devices n.k,huku wakitangaza vitu hivyo ni Mali za waliotaifishwa au kufirisiwa kutokana na kushindindwa kurejesha mikopo yao,Hii si kweli!!!!Mtaibiwa!
Watu hao huuza vitu vibovu na ambavyo vimechoka kabisa ambavyo huwa vimefungwa vizuri kama vile ni vibya!Mfano;Personal computer (PC) huuzwa bila Charger(adapter) zake ili isiwe rahisi wewe mnunuaji kutaka kujaribu na kugundua mapema.!Pia wanakupatia mpka receipt japo Ina jina la uongo na TIN za uongo za Auction Mart fulani ili kukuaminisha, "Msikubari"!!
Mimi binafsi nilitapeliwa laki moja na nusu(150K) km bei ya manunuzi ya PC aina ya ACER.
Cha kushangaza nilienda kutaarifu kituo cha polisi ili wakawakate na kuwachukulia hatua lakini wakaonekana kutokujari huku wakinikejeri na kunibeza kuwa napenda vya being Rahisi ndio maana nimetapeliwa,Iliniuma sana na kutamani kuwaTusi!!!
Nawaonya ndugu zangu msikubari kununua vitu ktk minada hiyo,Mtaibiwa!!!!!
Nawasilisha!!!!!!!!!![]()
![]()
![]()
![]()
Uko vizuri mkuumie waliwahi mtapeli mdada wa kazi aliyetumwa sokoni, nikaenda kijiweni nikachukua mateja tukawakuta wakatembezewa kichapo hadi wakarudisha pesa na fidia juu tangu siku hiyo wakahama mtaani kwetu.

Kweli kabisa mkuumkuu mnada ni wa U. S embassy tu hii mingine ni ulaghai
Duuuuuh!patamu hapoSheria ya mnada ni "As it is!"
Kwa hiyo kama umenunua kibovu kwa kuaminishwa kwamba ni kizima, hiyo haina kesi.