Naomba kurogwa

Naomba kurogwa

Jaribu mkuu. Mtumie majina tuone sbb ni dhana ya kufikirika tu wala usiogope

Hivi hiyo ya kutumia majina ndo SOP ya wachawi nini?

Manake mara kibao humu nishaombwa hayo majina na watu baada ya kusema uchawi haupo.

Vyovyote vile, uchawi ni dhana ya kufikirika tu. Kiuhalisia haipo.
 
Wewe utakuwa mchawi ushapewa kitu sasa unataka kufanya majaribio...
 
Mkuu nenda tanga au sumbawanga kabebe mke wa MTU utaomba poo.
Kote huko nimeishi na kutoa ofa kama hii bado sijaona chochote, kama kuna wazee unawafahamu waqmbie kuna ofa ya buree kabisa, mbuzi amejileta kwa muuza supu.
 
Vyovyote tu mkuu, niteswe niugue hadi kufa, niwe kichaa nianze kutembea uchi na kubeba makopo na kulala jalalani au vinginevyo vyote utakavyoona inakufaa ndugu mchawi.
hahahaha eti ndugu mchawi,,, me sio mchawi mkuu. Ngoja wachawi waingie field
 
Hakuna uchawi ni dhana ya kufikirika iliyochanganyika na michezo ya kisaikolojia..... ni km mzungu anavyotengeza ukimwi anatuuzia madawa . Na mganga anatengeza ugonjwa anakutibu mwenyewe... hakuna uchawi
 
Africa nzima inaiheshimu Tanzania kwa uchawi we mzalendo bado unabisha? Aisee..
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Kwa maelezo yako, inaonekana dhahiri wewe ni mchawi hatari Sana.
Unajitoa ufahamu ili tujue kuwa wewe hujui lolote kumbe umetega kusikia watu watasema nini, ila kifupi wewe ni mchawi kabisa.
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Uchawi una"baunzi" kwa nguruwe, haufui dafu. Sasa wewe unamiliki nguruwe kabisa, uchawi utakupataje?
 
Hii ofa bado ipo wakuu, naomba kwa unyenyekevu kabisa na kwa moyo wa kupondeka nirogwe.
 
Utasubiri sana! Ni sawa na kusubiri embe chini ya mwarobaini.

Mie mwenyewe hapa nilipo bado nasubiri kurogwa toka nitoe ofa humu ndani kwa yeyote aliye mchawi aniroge na ni miaka sasa ishapita na hamna lolote.

Sasasana utachokipata ni vitisho hewa tu.

Uchawi ni dhana ya kufikirika. Kiuhalisia haupo.
Kwa tabia uliyonayo una hakika gani Kama haujalogwa wewe!?
 
Maisha yanafanya watu wawaze mbali sana kujiokoa kutoka katika hali tata.....Kuamini kama kitu kipo au hakipo hakufanyi kisiwepo.
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.
Ukitaka kurogwa nenda Bagamoyo au Tanga au pemba katembee na mke wa mtu au hizo sehemu kaibe Nazi au karafuu kisha utaona jinsi utakavyo rogwa lakini picha yako tu inaonyesha umesha rogeka bado unataka kurogwa kitu gani wewe ?
 
Naomba kwa heshima na taadhima kurogwa, kama wewe ni mchawi au una ndugu yako mchawi mwambie naomba aniroge.

Mara kwa mara nimekua nikiwaambia watu humu na nje ya humu kua uchawi haupo na kam kuna mchawi naomba aniroge bado sijarogwa.

Kwa wale mnaoamini/kujua/kua na uhakika uchawi upo nawaombeni kwa heshima na taadhima mniroge jinsi mtakavyoona inawapendeza.

Wachawi, this is a soft ball i tossed to you, make sure you score the best goal, what hell of a chance to you? Mbuzi amejileta kwa muuza supu, kazi kwenu.

FAHAMU KUHUSU UKIMWI WA KICHAWI.

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara ambazo zina idadi kubwa sana ya watu walio namaambukizi ya V.V.U. Kwa mujibu wa tafiti

mbalimbali za kisayansi, katika kila watu kumi wenye umri wa kuanzia miaka 15 hadi 45wanao tembea barabarani, angalau watatu kati yao wanaishi na maambukizi ya

V.VU na angalau sita kati yao wanajihusisha na tabia hatarishi kwa maambukizi ya V.V.U. Hata hivyo, sio kila mtu anaye onekana na dalili zote za ugonjwa wa ukimwi, ni

kweli ameambukizwa ugonjwa huo. Kuna maelfu ya watu ambao wana ukimwi ambao wameupata kwa kulogwa. Katika makala zangu zinazo kuja, nitaanza kulizungumzia

hili na nitakuja na shuhuda kutoka kwa wahanga wa tatizo hili. Wapo watu wengi ambao walitupiwa ukimwi wa kichawi wakajisalimisha kwa Mungu wakaombewa na

hatimaye kupona kabisa ugonjwa huo na sasa wapo makanisani wanamsifu na kumtukuza Mungu. Unacho takiwa kufahamu hapa ni kwamba siku zote wachawi

wanapo taka kufanya kitu kibaya kwa mtu waliye mkusudia huwa wanatafuta na sababu ya kifo cha chake, nia ikiwa nikuwafanya watu waamini kuwa ndugu yao amekufa kwa tatizo fulani, labda ugonjwa fulani, ajali au hata kujiua. Hii ni hekima ya

kishenzi waliyo irithi kutoka kwa shetani. Hekima hii ya kichawi inatumika duniani tangu miaka na miaka. Ukisoma katika kitabu cha MWANZO 37 na kuendelea hadi

sura ya 40 utakutana na kisa cha Yusuf mtoto wa YAKOBO. YAKOBO alimpenda sana YUSUFU kutokana na jinsi alivyo kuwa smart kuliko ndugu zake, ndugu zake walichukizwa na jambo hilo, wakapanga kumuua, siku moja wakiwa nyikani

wanachunga kondoo wa baba yao, wakapanga kumuua YUSUFU kutokana na wivu walio kuwa nao. Hata hivyo mmoja kati ya ndugu zao alishari kuliko kumuua ndugu

yao ni bora wamuuze utumwani , kweli wakamuuza, swali walilo jiuliza hawa ndugu waovu ni watakwenda kumwambia nini baba yao hadi aamini kuwa mtoto wake

kipenzi amefariki dunia. Hekima ya kishetani ikawaingia, waka chukua vazi la YUSUFU wakalirarua na kulichana chana, kisha wakamchinja mwanakondoo, halafu damu yake

wakaipakaza damu, waliporudi nyumbani walimbwambia baba yao kuwa YUSUFU ameuwawa kwa na SIMBA na kwamba wamejaribu kupambana na simba bila mafanikio ila wamefanikiwa kuleta masalia ya nguo za YUSUFU. YAKOBO ambaye ndie

baba wa YUSUFU alipo tazama lile vazi, ni kweli lilikuwa vazi la mwanaye YUSUF, hata harufu yake ilikuwa ni harufu ya YUSUFU, alipo tazama na ile damu , kweli akaamini

kuwa mtoto wake YUSUFU amefariki dunia, lakini ukweli ulikuwa ni kinyume chake. Vivyo hivyo kwa wachawi wa nchi wanao ishi nasi katika nyakati hizi, wao pia hutumia hekima hii, pindi wanapo amua kufanya jambo baya kwa mtu kama vile kumuua,

kumpiga ukichaa n.k, basi lazima watatafuta na aina ya tukio au jambo litakalo husishwa na kifo ama tatizo la mtu huyo.

Yapo mapepo ya ukimwi, mtu anapimwa hospitali vipimo vyote vinaonyesha kuwa mtu huyu tayari ameathirika, na huanza clinic ya waathirika, mtu huyu akikutana na mtu akayakemea haya mapepo, hutoka na afya ya mtu kurudi katika hali yake.

Akirudi hospitali kupima ukimwi hauonekani tena. Wachawi na waganga wa kishenzi wamesambaza mapepo ya aina hii kwa watu wengi kweli kweli.
 
Naomba details zako za ukweli..jina lako kamili.jina na mama yako kamili na mahali ulipo..
 
Mm nahis kama umerogwa tayari.....mwenye akil timamu hawi kama ww
 
Unadhani wao wajinga kiasi hicho... Hawamrogi anaetaka kurogwa!
 
Back
Top Bottom