Malumbano ya hoja leo ITV: Mchangiaji na wachaga

kamanda wa makamanda

JF-Expert Member
Aug 21, 2015
629
492
Leo marudio ya malumbano ya hoja yaliofanyika Mtwara kuna mchangiaji, alikua anazungumzia hoja iliyokua mezani ya gas, jamaa ameonyesha dhahiri yeye na wenzake wa huko kusini wana chuki na wachaga nimemquote akisema 'mafisadi wa kutoka Moshi watakiona'

Wakuu hii ina maana gani?
 
huenda mkalikuza nyie kwa triki ya ukabila... ila hili liko wazi kabisa kaskazini ndugu zao kaskazin... watu wj kanda zingini huwadharau.. na halipingiki kuwa kaskazini ni watu wa mkono mrefu na wa birika
 
Ki ukweli when it comes to hard working people the so called northerners wanajitahidi sana, but on the hand when it comes to selfishness , hawa jamaa wanajitahid pia kuwa selfish, ilo suala la ubinafsi nmelishuhudia sana wakati nipo shule hasa hasa during my High school & university studies. They rarely work or create rapport with people who come out north zone
 
Ninacho amini mtu hazaliwi na chuki ila anafundishwa chuki hasa kwa jamii inayo mzunguka.. Watanzania hatupenda kama tunavyo jionyesha.
 
Back
Top Bottom