Elias mwasibu Member Dec 19, 2016 83 29 Dec 29, 2016 #1 Hili neno la kingereza rest lina maana ngapi msaada tafadhali jaman
snex Member Oct 9, 2016 92 46 Dec 29, 2016 #2 Najua maana mbili Kupumzika na zilizobaki /kusalia Kwa mfano I want to rest - Nataka Kupumzika The rest of you - Nyie mliobaki
Najua maana mbili Kupumzika na zilizobaki /kusalia Kwa mfano I want to rest - Nataka Kupumzika The rest of you - Nyie mliobaki