Wakenya jamani mbona huwa siwaoni jukwaa la love connect?

Habari JF...

Hua najiuliza mbona siwaoni waKenya kune love connect....

Au na nyie mna jukwaa lenu la love connect???

Jamani kikuyu,luhyas etc hamtutaki wanawake wa tzee???

Na nyie Kenyan female hamtaki mabwana zetu???
Wanawake hawataki mabwana zenu. Wengi wao ni maskini jamani. Scorpio wataka kuja Kenya???
 
Wamesha jijua wao ni "VIMEO" (hasa Mademu)....
Full Black..hasa wale Majaluo...
Wamekomaa sana Miguuni...hawana ulaini kama mademu wa KIBONGO.??
Sura zao wengi ni ngumu...
Ndio maana hawana time na Malovee...
 
Wamesha jijua wao ni "VIMEO" (hasa Mademu)....
Full Black..hasa wale Majaluo...
Wamekomaa sana Miguuni...hawana ulaini kama mademu wa KIBONGO.??
Sura zao wengi ni ngumu...
Ndio maana hawana time na Malovee...
Wajaluo ni Nilotes ndio maana ni weusi. Nilotes kwa ujumla ni weusi. Na sioni shida ya kuwa mweusi. Lupita ni celeb dunia mzima na ni mjaluo.
 
Kwani akiwa mweusi shida ni nini mazee, racist guy.
Huyu jamaa ni nigga mjinga. Ataka kujifananisha na mzungu. nimetazama video za Diamond, NAvy Kenzo na wengine ambao siwakumbuki majina. Kwa hizo video zao huweka wazungu sana. This shows how some self hating those guys are.
Lupita Mjaluo na huo weusi waki alivotiwa kuwa the sexiest woman alive, 2014. The same ntitle akina Angelina Jolie, Halle Berry, Tom Cruise got some years back
People (magazine) - Wikipedia
shenzzi
 
Back
Top Bottom